Search results

  1. U

    Kuondolewa kwa posho za vikao ni pigo jipya kwa CCM

    Hata hivo ni wendawazimu kutoa tamko la kufuta posho na kujidai kuelekeza eti zielekezwe kwenye miradi, na wadanganyika kama kawaida tunashangilia. Kama hili ndio lengo la serikali kuna haja gani ya kupeleka pesa ambazo hazina malengo maalum huko halmashauri? Kwanini usitoke waraka wa kufuta...
  2. U

    Aibu Kubwa kwa Jeshi La Polisi

    Sasa hapo ndugu yangu uozo wa polisi upo wapi? Kwani wao ndo wanazalisha vitabu vya risiti vya serikali? Mbona Uhamiaji walipokosa vitabu vya hati za kusafiria hukusema wameoza? Mimi nilidhani umechukuliwa pesa yako bila kupewa risiti kumbe wamekupa huduma waliokuwa na uwezo nao na kukueleza...
  3. U

    Mahakama Yazuia NHC kupiga mnada mali za Freeman Mbowe

    Wengi wao hawajawahi hata kuona hati ya kiwanja, achilia mbali kumiliki.
  4. U

    Taasisi ya Urais iheshimiwe

    Tatizo kuna watu hawawezi kutofautisha rais na m/kiti wa chama, labda kwa vile vyeo hivi vinashikiliwa na mtu mmoja. Mtoa post unaposema nyie UVCCM mtachukua hatua unamaanisha hatua za kisheria za kulinda taasisi ya urais au hatua za kisisasa za kumlinda m/kiti wenu?
  5. U

    Mtatiro aumbuka

    Kuna dada mmoja kajitambulisha kama mkurya wa kwanza kuimba taarabu, Kama hili jina sio yale ya wenye vyeti feki, basi wewe utakuwa mkurya wa pili kuimba taarabu! Hakuna mkurya tena mwanaume mwoga na mwenye maneno ya kike kama wewe Mura.
  6. U

    Kasi ya Serikali ya Magufuli na athari yake kwenye siasa za upinzani nchini

    Mtoa mada umejichanganya sana japo umeonyesha toka mwanzo ukweli unauona, umeanza kwa kukiri kwamba kuna maadui wameongezeka, lakini unajitoa fahamu kwamba siasa za kusubiri makosa hazitatufikisha kokote, nilidhani utatueleza kwamba hakuna makosa tena kumbe unataka makosa yakiwepo yasisemwe...
  7. U

    Rais Magufuli na Libya

    Watanzania wengi kwa mtazamo wangu tunaangalia mambo kwa ufinyu sana, lakini ukweli upo wazi sana na unatushuhudia japo hatutaki kuuona. Vita nyingi katika nchi za kiafrika hazitokani na kukosa chakula, dawa hospitali, shule nzuri au huduma zozote za kijamii, kinyume chake, vita nyingi...
  8. U

    Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

    Kwa wanaojua sayansi ya siasa, hiki walichokifanya chadema ni mafanikio makubwa sana kwao, kwa jinsi tulivyoona hadi mwanasheria mkuu akiwa kwenye press, inamaanisha kwa sasa serikali itabidi ijiridhishe sheria zinasemaje kabla ya kufanya jambo. Siamini kwamba hawajui na ndio maana wametumia...
  9. U

    Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...

    Mtoa uzi naomba nitofautiane na wewe, unachokisema kinaweza kuwa kweli lakini sio lazima kiwe ukweli. Katika press ya leo Chadema wanasema wapo tayari kwa mazungumzo, what if serikali ikakubali kubadilisha msimamo wao wakazungumza na kuruhusu mikutano? Nadhani wataacha kuandamana na huu unaweza...
  10. U

    Mwigulu Nchemba: Tuna Rais mmoja tu nchi hii, analoliamua wote tunapaswa kulifuata

    Tatizo tuna wandishi makanjanja waliosoma vyuo vya kariakoo ambao hawawezi kuhoji kitu, wanashindwaje kumuuliza huyo waziri ''Afande '' kama katiba sasa haipo tena na nchi inaendeshwa kwa maagizo ya rais? Na kwa maelezo haya, waziri ''Afande '' haoni kama anakubaliana na kauli za Lissu?
  11. U

    Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    Huyu bwana anapenda tu sifa za kijinga, hakukuwa na haja ya kuvaa gwanda hata kama analo nyumbani na ofisini. Ingeingia akilini kama angevaa yale ya kuzuia risasi kwa kuwa anakwenda kwenye tukio lakini sio uniform, anafanya maigizo tu na maisha ya hao askari waliokufa.
  12. U

    Ni jambo la huzuni Polisi kuuawa na silaha kuchukuliwa na wahalifu

    Mkuu keshaagiza hakuna haja ya polisi jamii, anataka polisi waogopwe.
  13. U

    Operesheni UKUTA: Mwigulu Nchemba atoa maelekezo kwa polisi nini cha kufanya Septemba Mosi

    Mkuu umeoandika kwa kirefu lakini bado umekosa point kama mwanzo. Unapozungumzia dini kubwa, kabila kubwa, ukanda mkubwa na mengine kubwa akama ulivyoita; unareflect kile hata wengi wa wanaohitaji na elimu wanachoamini vinginevyo tuambie kama kabila, wanachama, na waumini wa dini ya mh Rais wote...
  14. U

    Operesheni UKUTA: Mwigulu Nchemba atoa maelekezo kwa polisi nini cha kufanya Septemba Mosi

    Poor reasoning! Unasema Rais anakubalika kwa wananchi, na baado unasema wananchi waelemishwe kuhusu wapi Rais kakiuka katiba! Huoni kwamba wewe mwenyewe unahitaji kuelimishwa? Kama kweli wananchi wanamkubali kwanini hao wanaotaka kuandamana wasiachwe waingie barabarani wakose watu? Nguvu zote...
  15. U

    Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

    Humu hatujuani kwa majina lakini naamini wengi ni wanawake, tena wasiosoma, wenye akili za kiswahili, wambea na wapiga majungu, na nasikitika hili kuitwa jukwa la watu wanaoweza kufikiri! Hivi unaweza kutueleza Magufuli ana watoto wangapi ambao ni polisi watakaotumika kupiga watu siku ya...
  16. U

    Jenerali Ulimwengu: Mahakama ya Ufisadi ni kutapatapa kwa Watawala wa CCM

    Tatizo la watawala wetu ni kutosikiliza nini kinasemwa na jamii ama hata watendaji walio chini yao. Nakumbuka Hosea aliwahi kulalamika akidai sababu ya kutowafikisha mahakamani watuhumiwa wengi wa rushwa ni urasimu uliopo katika ofisi ya DPP na Ikulu kuwakingia kifua, hakuwahi kusema kuna tatizo...
  17. U

    TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!

    Ni ajabu pi kwamba tangu hao wenye hivo vituo vya kuhesabiwa kura wakamatwe, hakuna kesi iliyofunguliwa mwisho tumeambiwa wameitwa kuchukua vifaa vyao!
  18. U

    Hatutakubali serikali yetu kuaibishwa na wanasheria wasiojua sheria kama hawa

    Wanasheria wanapatikana kutoka kwenye masomo hayo hayo unayoita ya vilaza, labda ungetusaidia Lissu alisoma combination gani kabla ya kuleta hicho ulichoita 'hint'
Back
Top Bottom