Samahani nami nilikuwa mbali na mtandao watanzania tuna kasumba Maadam tumezoea toyota basi gari zingine tunaziponda discover gari nzuri sana kwa safari na mafuta pia spare zipo na ukinunua utafanya service ya kawaida tu kwa muda mrefu
Mfano Geabox ya automatic ya Nissan x _trail inauzwa lita 40,000hadi 45,000 ukiambiwa unasema bei kubwa weka ya kawaida fundi anakuwekea asiejua baada muda Geabox inakufa tafadhari pata ushauri sio wote wanaoweka oil na kumwaga wanajua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.