Search results

  1. Dr. Msafiri

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

    Bas Basi, endeleeni na mchakato wa kuliadabisha KKKT!
  2. Dr. Msafiri

    Kuviziana kwenye barua za KKKT na Wizara kama suala la Zanzibar kujiunga na OIC mwaka 1992

    Religion and Politics | Internet Encyclopedia of Philosophy
  3. Dr. Msafiri

    Naibu Spika amzuia Waziri Mkuu Majaliwa kujibu swali la barua ya KKKT

    Pengine ile Kamati ya Amani ilikwishalijadili kabla ya barua kuandikwa?
  4. Dr. Msafiri

    Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

    Kwa kuwa Chama siku za nyuma kilishawahi kuiuzia Serikali baadhi ya mali zake (km za Chimwaga), sasa wangeuzia Serikali viwanja vya michezo (Tabora, Mwanza, Arusha, Singida etc) ili kuendeleza michezo na wachezaji!
  5. Dr. Msafiri

    Dr. Bashiru atashindwa kama alivyoshindwa mwenzake Dr. Mukama

    Kwa kuwa hakuna Mtanzania aliyefikishwa kwenye Mahakama Mpya ya Mafisadi iliyoanzishwa mwaka juzi, basi hili taifa halina fisadi, Q.E.D.!
  6. Dr. Msafiri

    Wimbi la kuwahamishia Serikali Kuu wataalamu wa wilaya halmashauri zitabaki salama?

    Katika nchi nyingi zilizoendelea, LGAs ndiyo zina nguvu za kujisimamia na kufanya maendeleo (siyo vyombo vya kisiasa) kwa sababu zinakuwa na wataalamu wa kila nyanja / weledi na kwamba wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wa serikali kuu ambao ni wachache!
  7. Dr. Msafiri

    Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Basi, nacho kifungo cha nje kwake kiondolewe!
  8. Dr. Msafiri

    CCM na Viwanda: Safari isiyo na Kituo (No Destination) - Hakuna Mwendelezo, Ni ‘Management by Hit’

    Actually, we are in a permanent inexpedient political campaign mode, not moving forward even an inch!
  9. Dr. Msafiri

    Rais Magufuli hawezi kuwa sahihi katika hili la mikopo chuo kikuu

    UZALENDO UTAKOMAA AU UTAKAKAMAA?
  10. Dr. Msafiri

    Serikali inataka kuua na kuzorotesha shule binafsi?

    Wanaosoma shule / vyuo binafsi wasikate tamaa. Wasome kwa juhudi ili wapate uwezo wa kuanzisha shughuli za kujiajiri na pia waweze kuajiri wenzao na wengineo!
  11. Dr. Msafiri

    Naombeni kujua kuhusu hivi viwanda 3,306

    Kama yupo wakutujulisha orodha na mahali (location) vilipo hivyo viwanda vipya 3,306 ili tuvitembelee na tuweze kuchagua bidhaa za kununua?
  12. Dr. Msafiri

    Wazo la wiki: Siasa kwa maendeleo ya Taifa

    Hadi kufikia mwezi Februari 2018, viwanda VIPYA 3,306 vimeanzishwa Tanzania!
  13. Dr. Msafiri

    Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Inaelekea maadui wetu wakuu UJINGA, MARADHI (siyo magonjwa) na UMASKINI wamejiimarisha sana!
  14. Dr. Msafiri

    Rais Mstaafu Mkapa, ataka mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini baada ya shule za Serikali kufanya vibaya

    Hata hivyo elimu ya msingi inatarajiwa kutolewa kwa miaka sita badala ya saba!
  15. Dr. Msafiri

    Waziri wa Fedha afichua siri ya watu ‘kuchacha’

    Hoja ya maana ni jinsi gani ya kutumia kwa ufanisi Wachumi waliopo Tanzania haswa walio nje ya Bunge kwani hawabanwi na siasa za makundi zisizoleta shibe wala afya!
  16. Dr. Msafiri

    Niwaeleze tu viongozi wa Chadema, muda wa kuwa "crying babies" umeshapitwa na wakati. Nilazima mtu asimame ajiulize!

    Maadui wa Taifa hili bado ni wale wale, UJINGA, UMASKINI NA MARADHI. Inawezekana ujinga bado unaoongoza!
Back
Top Bottom