Search results

  1. P

    Mchumba anaitajika

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa elimu ni degree ni muajiriwa wa Serikali nina watoto watatu wakike 2 wa kiume mmoja.Nilioa bahati mbaya ndoa haikiweza kudumu kutokana na changamoto zake. Naitaji mke wa kuoa umri kuanzia miaka 22 mpk 25 asiwe amezaa zaidi ya watoto wawili.Elimu yake...
Back
Top Bottom