Search results

  1. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Kwa mtindo wako nacheka. Maana ili uelewe lazima uanze kusoma komenti yangu ya kwanza mpaka hii ninayoandika. Ili dhana zako zirekebike. Kimantiki unaonekana unaamini kabla ya kuhoji waswahili wanasema kukubali kibubusa. Maana Huna na hautakuwa nalo la kumhoji mzee kachumvi. Ulishaamini sasa...
  2. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Una akili nyingi sana. Iwapo Juma Njemba alikuwa mchawi huo utajiri na kuishi Kama yupo peponi ulitokea wapi??????? Njia hata ifichwe na miba itabaki kuwa njia tu
  3. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Nakufahamisha tena na tena!! Ukimgusa mzee huyo umeugusa mtaa alioishi na jamii yake. Hivyo mimi ni sehemu ya watu wa mtaa huo. Sipingi kuwa hivyo "zikiletwa" inategemea wakati huo nilikuwa upande gani, nipo mtaani kwangu na waletaji wameleta hapo. Nawezaje kusema "zikipelekwa"?? Kuhusu...
  4. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Kiswali kidogo lakini kizitooooo....!
  5. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Basi huyo ndio aliyeheshimiwa mno Chief wa Wahombo wa Ujiji. Kuhusu kuogopewa watu wa Kigoma Ujiji hawaogopi mtu na hawakuwahi kumuogopa mtu wao huogopa Mungu tu. Muulizeni Zitto Kabwe
  6. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Haitokei kamwe kuhitaji kuwa mlaghai wa waganga. Nachangia Kama mwana Jf. Na hii ni haki yangu, ndio maana sijamshawishi mtu kwa lolote la urithi wa Juma Njemba
  7. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Utakuwa nawe ni miongoni mwa wanaosoma ili kujibu" lakini hapana utakuwa umesahau kuwa hujaona poppet mimi nikiwa mwanafamilia yake, hata ilipotajwa sikuandika poppet kuwa mimi ni mwanafamilia. Sijaoa wala kuolewa! Napata ujasiri kwa kuwa taarifa yangu Kama itakuwa na mapungufu si ya kukusudia...
  8. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Hilo umesema kweli sisi sio wazembe katika kutetea tunachokiamini. Ni hakika lakini pia hatuvunji heshima za watu wala kusema uongo. Tunaweza kujitetea kwa muda wote labda tuwe hatuna wezesho la utetezi wetu. Lakini nondo tunazo[emoji4]
  9. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Sass Kama ni hivyo aliishi wapi??
  10. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Swali zuri sana! Huyu kwenye labial lake alikuwa ni chief, na alikuwa ni mkuu wa ngoma za makabila yake pia, acha Kigoma alikuwa ni chief wao kwa Tanzania hii, toka ikiitwa Tanganyika. 1963 Kama sikukosea nchi yetu ilifuta utaratibu wa kuwatawalisha machifu. Lakini baadhi ya Jamii ziliendelea...
  11. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Mbona hakuishi mbinguni aliishi hapa duniani. Na Zaidi ya yote majirani zake wapo! Unadhani kuuwa watu 2000 halafu uzao upo na hakuna kisasi? Uovu wote huo lakini mnawachoma moto wenye macho mekundu yeye anadunda tu. Eti aliishi Kama yupo peponi, mtu ambaye hakumiliki hata baiskeli, anapanda...
  12. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Hii huiita akili kubwa Mara zote. Hapa suala ni fact tu. Matusi hayana fursa kabisa! Nakubali fikra chanya.
  13. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Kwenye issue ya koti ofisini kuna alilosema la kweli na lipo hakusema kweli nenda kasome komenti yangu vema. Kweli ni kukamatwa kwa mwanae kwa kutuhumiwa kuzurura Isiyo kweli ni kutundikwa kwa koti Zaidi issue hiyo ya koti Ujiji ni maarufu sana kwa wazee Zaidi ya mmoja kiasi watu walishaamini...
  14. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Tens tumemuumbua vibaya!! Katika dunia ya Leo kuleta story za "Zombi mla watu" ni mtihani sana. Haijalishi muislam au mkristo ukiwa mtanzania ukaamini kuwa kuna mtu alikuwa na power ya uzushi ya kubuniwa na kupachikwa , jikague hutoshi ama kuna upungufu wa afya ya makuzi, au kuna ujazo wa elimu...
  15. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Nyote mlihadithiwa lakini hamkumuona, hamkuzungumza nae, hamkumuhoji, yaani nyie ni "third hand information" na bado mnaushawishi umma uwaelewe kuwa mlichoambiwa ni kweli. Nacheka[emoji6][emoji847][emoji6] Watembeleeni wachamungu mpate kuondolewa nira mashingoni mwenu.
  16. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Yaani kwa lugha unayotumia, wewe unaamini katika uchawi na ushirikina kupita inavyoweza kudhaniwa
  17. AbuFizzer

    Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

    Alioa mjukuu wake??? Au mjukuu wa vivuli vyake?
Back
Top Bottom