Tumegundua kuwa pesa za watumishi wa umma zinazotakiwa kulipa watu mishahara ndoo zinanunua madiwani ndoo mmeshindwa kulipa mishahara ya watumishi kwa wakati
Kuna umhimu gani wa kuajiriwa sasa sema serikali hii haina pesa wawalipe watumishi mishahara yao kufanya miradi ni utashi wa mtu na hakuna uhusiano wa direct wa kuchelewesha mishahara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.