Search results

  1. K

    Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

    Ni bora kuishi kwa kupendana na kujaliana hata bila upinzani, kuliko kuwa na wapinzani ambao kila kukicha mara wapigwe risasi, wateswe na wananchi kuuawa na kuwekwa kwenye viroba
  2. K

    Maswali matano kuhusu kikosi kazi cha Rais kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia

    Afadhali aendelee huyu huyu mama. Ni bora kuishi kwa upendo miongoni mwetu hata bila upinzani kuliko kuwa na wapinzani wanaopigwa risasi na na wananchi kuuawa kila kukicha na kuwekwa kwenye viroba.
  3. K

    Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    Tuchukue kwa mfano nyote mnajua baba wa nyumb hiyo yupo lakini ukasikia kwamba ile nyumba haina baba, kisha mtoa hoja akaeleza sifa stahiki za baba mwenye nyumba, hapo wewe unaelewaje?
  4. K

    Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    Mheshimiwa Rais, pamoja na nia yako hiyo njema ya kukabidhi hayo magari kwa taasisi za serikali, najua kwa sehemu kubwa hayo magari yatatumika na viongozi wa taasisi hizo. Naomba uangalie kwa jicho la pekee kwa upande wa UONGOZI wa Taasisi hizi za Serikali na Mashirika ya Umma. Taasisi za...
  5. K

    Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Yeye ni mwanaCCM, Mbowe ni Chadema. Sasa mambo ya Chadema na Mbowe ni ya nini kwake?
  6. K

    Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kwani M/kiti wa Taifa wa CCM wamesharuhusu siasa za kwenda kwa wananchi kuwapa hiyo elimu? Wewe Kamanda uliyechoka vipi tena?
  7. K

    Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    NANI ALIYEMWAMBIA TUPO KUFANYA MAMBO YANAYOMFURAHISHA YEYE? JINGA KABISA HILI LICCM
  8. K

    Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

    Usichelewe, wahi seat ya mbele kwenye kuunga juhudi. Jiwe aliiharibu nchi hii
  9. K

    Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Hii kesi ikifutwa tutakosa tuyajua mengi sana! Kesi hii imeiumbua serikali kwamba inafanya mambo kienyeji sana! Jeshi la Polisi limeoza. Na wanataka kuambukiza uozo huo kwa JWTZ. Kama isingekuwa akina Mbowe wanateseka sana kiasi cha kunyimwa chakula nilitamani zamu ya kuleta mashahidi wa...
  10. K

    CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

    Nani hapo kamuiga mwenzake? Tuanzie hapo
  11. K

    Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

    Halafu mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuleta hawa Polisi maana wote wanasema kitu kilekile tu. Ushahidi kwangu uliishia kwa Urio. Hawa wengine ni hear says tu
  12. K

    Wabaya wa Mbowe: Ole Sabaya OUT, ex RC Mtwara OUT, Ndugai OUT, Nani anayefuatia?

    Kikasi cha kihuni cha awamu ya tano chini ya Nyoka Mwendazake
  13. K

    Wabaya wa Mbowe: Ole Sabaya OUT, ex RC Mtwara OUT, Ndugai OUT, Nani anayefuatia?

    Halafu nasikia huyu Mahita ni mtoto wa Yule Mzee wa Mapanga ya CUF ngunguri Omari Mahita, aliyekuwa IGP na aliyemiliki genge la uhalifu wa kutumia silaha enzi zake. Aliwahi kuzaa na binti yake wa kazi akamtelekeza hata mtoto wake. Huyu sasa kamrithisha mtoto wake uaskari polisi na inavyoonekana...
  14. K

    Wabaya wa Mbowe: Ole Sabaya OUT, ex RC Mtwara OUT, Ndugai OUT, Nani anayefuatia?

    Na bado. Yupo Makonda pia. watakaofuata ni Kingai na Mahita.
  15. K

    Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Hata kwenye harusi za matajiri tunachangia kama njia ya kuonyesha umoja, ushirikiano na mshikamano katika jamii. Ukijifanya wewe unazo hutaki watu wakuchangia na wao wanaweza kukataa mchango wao hata kama ni wahitaji
Back
Top Bottom