We at ZoomTanzania assure you that the jobs on Zoom are real jobs from real employers. From the discussion in this thread, its clear some people get interviews using ZoomTanzania and others do not. If you are not getting interviews, or if you are not getting enough interviews, perhaps you are...
Habari Ipilimo,
Tungeomba uelezee zaidi kuhusu hizo kazi 3 za Utapeli za ZoomTanzania au utupe links au majina ya kampuni zilizotangaza hizo kazi.
Katika hii thread tumejibu kuhusu post yako na tungeomba feedback katika hili.
Asante, ZoomTanzania.
Habari wanajamii,
Kuna malalamiko tumepata kuhusu kazi za ZoomTanzania kuwa nyingi ni za utapeli. Kazi nyingi sana za ZoomTanzania ni za ukweli na sources zake zinaeleweka. Mfano kuna kazi nyingi sana kutoka kwa Recruitment Agencies mbalimbali pamoja na makampuni mbalimbali pamoja na magazeti...
Habari,
Tunashukuru kwa kuona maoni yenu kuhusu Zoomtanzania.com. Kwanza napenda kuwatoa hofu na kuwahakikishia kuwa Nafasi za kazi tunazozitangaza ni za ukweli na nyingi huwa wanaotangaza ni waajiri wenyewe na recruiting agencies. Na kuna watu wengi wanafanikiwa kupata kazi kupitia...
Jamaani zoomtanzania kazi zetu nyingi zinatoka kwenye magazeti nayo ni daily news na Guardian. Na wakati wote tuna acknowledge source za kazi za magazeti. nafasi zingine za kazi zinatoka recruiting agency wao huwa wanatutumia wenyewe moja kwa moja. Hivyo basi niwatoe hofu kuhusu matapeli kwani...
Habari, kwanza napenda kuwajulisha kuwa ZoomTanzania sio recruitment agency, ZoomTanzania ni Online Business Directory na katika mambo tunayofanya ni kutangaza nafasi za kazi. Kutangaza kazi ZoomTanzania ni bure, nataka kuwajulisha kuwa kuna watu wanatumia nafasi hiyo kuwaibia watafutaji kazi...
Habari, kwanza napenda kuwajulisha kuwa ZoomTanzania sio recruitment agency, ZoomTanzania ni Online Business Directory na katika mambo tunayofanya ni kutangaza nafasi za kazi. Kutangaza kazi ZoomTanzania ni bure, nataka kuwajulisha kuwa kuna watu wanatumia nafasi hiyo kuwaibia watafutaji kazi...
me naona ni sawa ni kama kutafuta mtu ambaye amewahi kupatwa na madhara ya madawa ya kulevya kama assistant researcher kuhusu research ya madawa ya kulevya na nini, mtu mwenye experience na hiko kitu, nadhani lengo ni kuwasaidia watu wenye matatizo kama hayo nadhani, na nafasi haijatangazwa na...
Bumpkin Billionaire, unapotuma documents na picha kwa kutumia email, ni bora uzi-reduce size. Uchunguzi wetu umeonesha kuwa attachments zenye ukubwa wa zaidi ya 2MB zinaweza kupata shida kufunguka au kupokelewa. Hebu soma hapa ili ujue jinsi ya kupunguza size ya mafile > ZoomTanzania | Image...
Mara kwa mara huwa tunafanya test ya system yetu kuhakikisha kuwa inafanya kazi vizuri. Watu wengi wanashindwa katika hatua ya kuingiza zile alama kwa sababu zifuatazo:
Kwanza kabisa USIACHE space kati ya zile herufi. Zi-type zote bila kuacha space, kama neno moja.
Pili, kama herufi zipo kwa...
Nashukuru kwa majibu yote ambayo yamekwishatolewa.
Kazi zote unazoziona kwenye ZoomTanzania.com, zinatokana na vyanzo vikuu viwili:
Mhusika wa kampuni husika ana-post kwenye Website Yetu
Mhusika wa ZoomTanzania.com ana-angalia nafasi za kazi zilizo kwenye magazeti, na kuzi-post.
Ili...
Habari wana JamiiForums,
Tumepokea malalamiko na maswali mengi sana kuhusu kwa nini hatuoneshi email address za waajiri ili wanaotafuta kazi watume maombi moja kwa moja. Wengine wanafikiria kuwa tunafanya hivyo maana tunataka / tunapata ‘Commission' kutoka kwa waajiri. Ni matumaini yetu...
Habari wana jamii,
Sisi ni ZoomTanzania. Ni kweli kazi za ADEXEC ziliwekwa kwenye site na matapeli. Tunaomba mjue kuwa tunafanya jitihada kubwa kuhakikisha kazi za namna hii (Za Matapeli) hazionekani kwenye site yetu. Kila mwezi, huwa tunabaini kazi kama 3 au 4 kuwa ni za matapeli, na...
Habari Wana Jamii Forum,
Sisi ni ZoomTanzania.com. Kwa kupitia maoni yenu, tumeelewa kwa nini baadhi yenu mnaona ni kero na usumbufu kulazimika kubofya link ili kupata maelezo juu ya kazi. Tunaomba ushauri wenu tufanye nini juu ya jambo hili.
Siku zote tunajitahidi sana kuwaletea mkusanyiko...
ni kweli ile kazi ilikosewa lakini mara ngapi unaona kazi kwenye zoom na apa naongelea zitokazo kwa magazeti ukakuta ni za kweli???kukosea tarehe kwa kazi moja ndo useme usanii?je kwa zile zote ulizokuta kweli??ambazo naamini ni zote kasoro hii moja mbayo niliibadlisha badae,mbona hujawai kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.