Search results

  1. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Sawa, I am Sold! Nimeteseka sana maishani hata sasa siogopi kifo tena, nipo tayari kusonga mbele sasa kwa njia yoyote. Siku kumi na moja kutoka leo, nitajua hatima yangu...adui zangu pia watajua hatima yao. Matokeo yaweza kuwa mawili tu.
  2. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Ningependa kujua umuhimu wa mwezi katika mambo ya nguvu za giza. Kuna aina fulani za uganga kama vile wicca ambayo huamini kuwa kazi inayofanywa huambatana na mwezi uliopo. Sijui kwa utaalam wako, kuna kuzingatia mambo kama hayo.
  3. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hehe, bwana wewe naona ushapata ujanja. Wengine wetu bado tupo gizani. Lakini dunia ina mengi kweli, wakati mwingine unateswa na wanawake kila unayempata anakula vyako na kukuacha hoi, kama una moyo mwepesi utaweza fanya lolote ili ulipize kisasi. Lakini msamaha ndio tofauti yetu na mungu. Sijui...
  4. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu Mtu Mzito, kwa hili jambo la uchawi, je ni kama magonjwa mengine ambayo mitambo ya hospitalini hayawezi kuyaona hadi upite muda fulani ya kuupata ugonjwa huo. Yaani, kuna uwezekano mchawi akuroge leo na kesho ukienda kwa mganga apate kuona jambo ambalo umefanyiwa ama itabidi uchawi wenyewe...
  5. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Swali kwa Wataalam hapa Mtu Mzito na wenzake, mtu akipata habari ama fununu kuwa amefanyiwa mambo ya kiganga na mwanamke mpenzi wake ili ampende kiasi cha kuwa zezeta na kumwona yeye pekee na hata kumgharamikia sanaa na familia yake, je anaweza kujinasua yeye mwenyewe ama atakuwa hajielewi hata...
  6. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hata mimi ningependa kujua zaidi kuhusu swala hili. Ukifanya utafiti unaeza nieleza pia
  7. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Leo nawaona hadi platinum members hapa.
  8. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu, Je laana ya kupitia kizazi kimoja hadi kingine yapo kweli? Mtu anaweza kudhurika na laana ya mababu zake wa kale? Suluhisho ya kiganga ipo?
Back
Top Bottom