Search results

  1. Da Dinnah

    Nimevunjika Moyo

    nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena, hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair? Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Back
Top Bottom