Search results

  1. Sadukayo

    Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

    Mdude ni jasiri asiye na unafki, wewe pia ni jasiri kwa unayoyaamini, tatizo ni kwamba Mdude ameshajinyumbulisha yeye anataka Nini, wewe ni jasiri usiye na msimamo, au mara nyingine hujui unataka Nini? Pengine unatengeneza mazingira ya kurudi nyumbani.
  2. Sadukayo

    Madaktari kugoma nchi nzima!

    MAT ni chama cha hiyari, ingawa hakina nguvu yeyote katika mustakabali mzima wa ajira ya mtu, kinabaki kuwa chama pekee kinachoweza kuwaunganisha madaktari pamoja, Tanganyika Medical Council(TMC) pekee ndiyo inayoweza kumfutia usajili, ambayo na yeye ni member wa hiyo Council kwa nafasi yake.
  3. Sadukayo

    Hujafa hujaumbika

    tatizo lako si dogo sana kama baadhi ya wadau wanavyodhani. Kutokana na maelezo yako na taaluma yangu, tatizo lako linaitwa "trigeminal neuralgia" huwa halina maelezo ya kuridhisha kuhusu chanzo chake lakini kuna sehemu fulalni ambayo inapoguswa tatizo huanza, sehemu hii inaitwa, "TRIGGER ZONE"...
Back
Top Bottom