Search results

  1. M

    Wapi Wanatoa HR Competent Certicate hapa Tanzania ?

    Habari wadau, na poleni na miangaiko ya maisha. Nilikua nauliza kama kuna sehemu wanatoa Certificate ya Mafunzo ya HR, kwa mtu alie tayari na Degree ya HRM, maana kazi zinatoka na wanaulizia na kuchomekea jambo hilo. Naamini nimeeleweka, msaada wadau.
Back
Top Bottom