Search results

  1. kirengased

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Babako alibeba mimba Yako miezi Tisa kweli? Unajichekesha umetekenywa wapi we mpare mfupi au umepewa thamaki
  2. kirengased

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Mimi huwa nachangia vastly... sibanwi na mawazo ya mtoa mada au yeye anataka Nini!! Siinajua hapa sio tunajibu mtihani 😎
  3. kirengased

    Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Maandamano mengine!!!!!!!!!!!!!!!
  4. kirengased

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Nyerere nlikulaga ugali wanjano, Mwinyi ajira shidaaa,Mkapa kamshahara kiduchuuu ***KIKWETEE HOYEEEE sitamsahau aliniwezesha nikasoma chuo kikuu, nikaoa,nikajenga,ndinga,mshahara safi,biashara ikastawi,Bata kamakawa,vimchepuko,nkaenda nje... Akaja magu biashara ikafa,mshahara ukabaki...
  5. kirengased

    Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Nchi lazima ichechemke sio woote usingizi kazi kumwimbia mama-mama!! Piga kazi makamanda tupo pamoja kunamambo mengi ya hovyo yanaendelea hii nchi. Juzi kunamtumishi mwalimu Senior kabisa kakuta mshahara wake haufiki lakimbili kisa "bodi ya mikopo"!! Kwanini bodi inakata mkopoa kibabe bila...
  6. kirengased

    Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    That why???🙄
  7. kirengased

    Mara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

    Makupa?? sisi wazee jina makupa linasiha mbaya sana! Nchi huru kilamtu anaruhsa kushughulika na yake!! Wanajeshi wakasaidie maafa ya mafuriko sio mambo ya gwaride!!
  8. kirengased

    Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Nchi kibaaooo Afrika zimeendelea na hazina cha muungano wala Nini!! Tunataka maendeleo sio kung'ang'aniana.... Woga ulilazimisha muungano sasa tuache woga kilamtu ajenge nchi yake kiuchumi! Kwanza muhindi anatutungiaje jina lanchi yaani TZ?? Tanganyika haipaswi kusahaulika na kupuuzwa uhuru na...
  9. kirengased

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Kwahiyo angeshinda sa100 ndiyo tungesema utafiti ulikuwa sahihi? Gazeti Bure kabisa
  10. kirengased

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Anatakiwa ajibu tuhuma hizi lasivyo huko aliko ajiuzulu maana tumemuona anasaini mamikataba tele huko uturuki nk. Asije akaiuza nchi huyu msambaa
  11. kirengased

    Paul Makonda amekutwa na nini? Kapoa ghafla!

    Iambie familia yako imuombee makonde sisi wengine tunamengi ya kuombea
  12. kirengased

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Ok ndohuyo mhubiri wa buza? Dah yule sio wa kawaida Bora apigwe marufuku niliskia siku anataka mtu afe kupitia redio eti kisa anamhisi ni mchawi!!
  13. kirengased

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Usilitaje Bure jina la bwana Mungu wako kwakuwa bwana hatamuhesabia Hana hatia mtu alitajaye jina lake bure
  14. kirengased

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Miaka mitatu??? Miaka mitatu tumepata maridhiano, Miaka mitatu hajatekwa mtu, Miaka mitatu maslahi ya wafanyakazi yameboreshwa, Miaka mitatu tumepata tume huru ya uchaguzi. Miaka mitatu viongozi wababewajinga wamerekebishwa. Miaka mitatu jeshi halishurutishwi kuingilia mambo hovyo, Miaka mitatu...
  15. kirengased

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Kunawatu washazoea shida zao wanaona ndomaisha na washampenda mtuwao hao ni wakuacha tuu nikama Dom na chama cha maombaomba
  16. kirengased

    Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

    Sijambo la kuhoji...WIZI ulikuwa mkubwa mmno,mawakala upinzani walifukuzwa chumba cha kupigia kura na maelekezo ikawa sio ashinde Bali ashinde Kwa kishindo!!!
  17. kirengased

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Acha kujipendekeza we mtoto, jadili hoja usijipendekeze kwa watu unajidhalilisha bure
  18. kirengased

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Wanazidi kumpa umaarufu...inaonekana wanamuogopa ndomana wanampa cheo licha ya matendo meengi yasiyofaa!! Alafu mtu ananiambia eti niwe mzalendo!! Mzalendo huku mtuhumiwa anapewa cheo na rais nasisi watiifu tunateswa Kwa mishahara midogooo
Back
Top Bottom