Search results

  1. Obuma

    Tetesi: Rais kutozungumzia suala la CAG

    Wewe nae uko kundi la Wasomi? Hizi St na hivi vyuo vya kata vimezalisha vijana wa hovyo mno!! Likishaandika kiingereza linaona linajua!!Kihongwe mkubwa wewe. Wapi CAG kavuka mipaka, katiba iko wazi na inaeleza kazi za CAG ni wapi na ulete kifungu cha katiba kinachooonyesha CAG amevuka mipaka...
  2. Obuma

    Tetesi: Rais kutozungumzia suala la CAG

    Mkuu achana ni hii nyumbu kuijibu tunakuwa tunaipa heshima isiyostahili kabisa!!
  3. Obuma

    Ndugai ndio ataambulia aibu kama hamjui Magufuli vizuri

    Ndugai ni mtu wa kujikomba sana, hii hataona ni shida kwake alimradi jamaa anamkubali bila kujua matizamio yake jamaa hana mpango wa kuyatekeleza mbeleni!! Hawa ni watu kutoka Dodoma ni aina ya kina Nkamia NA KINA KIBAJAJI wana tabia ya kujikomba sana so hata kama jamaa atamgeuka hataona aibu na...
  4. Obuma

    Tetesi: Rais kutozungumzia suala la CAG

    Pumbavu wewe!!Mipaka ya CAG unaijua na kama unaijua ni ipi? Kaendeshe boda boda na kukimbiza kama ambulance na kunywa viroba huko!! Hizi akili za kiduku huku JF ni shida! Ni wapi CAG amevuka mipaka yake? Ujinga ni kunywa konyagi ya kupima na kuingia JF
  5. Obuma

    Profesa Mussa Assad: Natamani mahojiano yangu na Kamati ya Bunge yangewekwa wazi ili watanzania waujue ukweli

    Tumia akili walao kidogo!! Kujiuzulu kutawapa watesi wake haki na kutaiumiza nchi!Tunahitaji watu wa aina hii ili kudhibiti matumizi ya hovyo na rushwa ndani ya mfumo!!
  6. Obuma

    Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Ni bora mngenyamaza Mange akiamka huko analeta vielelezo! Le Mutuz hajawahi kuwa na kichwa cha kuweza kutete suala nyeti hata kidogo! Labda umbea wa kwenye vigodoro!!
  7. Obuma

    Tetesi: Mamlaka za juu zimetengua utenguaji

    Idiot detected!
  8. Obuma

    Msimamo wa Eric Shigongo kwa maazimio ya bunge la Umoja wa Ulaya(EU)

    Elimu ni muhimu sana kwenye mambo kama haya! Hili ni suala LA Kidiplomasia ndio maana hata magwiji was diplomasia wamekaa kimya sasa sijui huyu anadhani ni mambo ya Kiu,Ijumaa weekend, au Risasi!! Kukosa Elimu ni Kitu kibaya MNO
  9. Obuma

    Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

    Petty issues!! Stupid
  10. Obuma

    Mitandao ya kijamii as political platforms, anti-intellectualism na mustakabali wa Tanzania

    Na wewe andika makala ya kuidefend au kuitukuza jamii forums kwani umezuiwa? MTU ukiwa mjinga ukifunua tu domo au ukitype tu lazima ujulikane
  11. Obuma

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    M Mkuu unadhani Kwa hadhi na cheo cha Mbowe hakuwa anajua hili? Kuna jinsi mkuu!!!!Huwezi kwenda ubelgiji Mara ukutane na balozi was marekani nchini muwe na info za vikao vya mwanza kabla hats havijamalizika then ushindwe kujua hili!!
  12. Obuma

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Wenye akili kubwa ndio wataelewa mbowe alitaka kufanya mini na wajinga wameingia mkenge ngoja tuanze kusikia wiki ijayo! Hawa hawa wanabinua midomo huku kama wamekula ugoro ndio hawa hawa watakaonza kusema wapinzani wanatuusababishia kukosa misaada
  13. Obuma

    Tujifunze kuwaheshimu viongozi hata kama hawakuwa chaguo letu,Chadema mnanisikia?

    Stupid! Mkemee Kibajaji and co ndio uje kuwakemea CHADEMA na BAVICHA! Huu ndio ujinga uliolikumba hili taifa nyakati hizi! UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA
Back
Top Bottom