Search results

  1. the great wizard

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi Programming job skills

    Don't say that just yet.. https://www.neurotech.africa/ https://sarufi.io/ https://sarataniai.com/ Last week tulikua na event ya Generative AI pale Stanbic bank Tan house, Pia kuna AILAB Tanzania AI community.. muamko ni mkubwa. Neuraltech na sarufi ni moja ya mifano tu ya kuonyesha muamko...
  2. the great wizard

    Unapenda Games? GTA VI inakuja ikiwa na mission kibao

    Kuna tetesi zinasema kwamba price yake itakua ni from 100$ Pia kuna tetesti zinasema itakua ni rental game 5$ per hour
  3. the great wizard

    Msaada: Nataka kutuma email moja kwenda kwa email addresses 10000+

    hapo unaweza andaa simple script kwa kutumia python smtplib
  4. the great wizard

    Niulize chochote kuhusu programming language

    Msaada kufanya deserialization over socket java. client ata serialize object then kutakua na db server ambayo itafanya deserialization na ku insert data kwenye db.
  5. the great wizard

    Kipi ni bora kati ya ku-jailbreak ps4 au kuto-jailbreak

    mkuu naomba link ya retailers wa gamepass xbox
  6. the great wizard

    VIRUS ATTACK ".MOIA FILE EXTENSION" HOW TO DECRYPT INCRYPTED FILES?!

    Same thing hii just ni moja kati ya variants nyingi za DJVU ransomware, wakati encryption inafanyika ulikua offline au online?
  7. the great wizard

    Njia gani bora zaidi ya ku package classes

    tumia procedural programming chief:)
  8. the great wizard

    Disk is write protected

    Storage device ikianza kufa manufacture ameweka hiyo kitu right protection kwa ajili ya kutunza data zako zisipotee wala kuharibika just in case. think kitu kama hichi... Una classified documents kwente flash yako and flash ikafa bila wew kuzihamisha itakua ni changamoto... sasa manufacture...
  9. the great wizard

    Je ni kweli Application ya "Psiphon Pro" inatumika kupata Free Internet

    Inatumua concept ya ku change DNS queries to IP packets. see bila bundle u can ping a domain and get its IP address now during resolution you can change the DNS traffics to IP trafficks and boom u got the net
Back
Top Bottom