Search results

  1. S

    Hosting

    Jamani wana jamii,habari zenu. Nimekuwa nikifatilia namna ya kuhost website na blogs. Naomba msaada wenu,mnifahamishe hapa kidogo. Hivi mtandao kama kupatana ,jamii forum wanafanya dedicated hosting au cloud hosting. Na ina garim shilingi ngapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Msaada kuhusu fragments

    Habari zenu wanajaamii. Kwa wale wenzangu mlio vizur katika android development. Naomba msaada kwa mwenye ujuz wa namna ya kuwasiliana kati ya fragment mbili au zaidi (fragment communication) kwa kutumia interface. Shukran
Back
Top Bottom