Search results

  1. ngogo s ngogo

    TP Mazembe yafanya mauaji ya kinyama Klabu Bingwa Afrika: Yaitundika Club Africain goli 8 bila huruma

    Habari wanajamvi, natumai mu wazma kbsa. Leo tarehe 2/2/2019. Kuna michezo sita kutoka ktk makundi yote manne yaani A, B, C na D. Katika Group A. Timu ya Lobi Star ya Nigeria ikiwa nyumbani imekubali kichapo cha bao moja kwa sifuri (0 - 1) kutoka kwa timu ya Waydad Athletic Club kutoka nchini...
  2. ngogo s ngogo

    Klabu Bingwa Afrika: Refa awabeba Al Ahly nyumbani kwa JS Saoura

    Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1 Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa nyongeza. Ama Kweli ukiwa timu kubwa raha. Al Ahly ilikuwa wafe hii game. Sio mbaya. BADO TUNA...
Back
Top Bottom