Search results

  1. lynne5311

    Nilimsomesha mpenzi wangu na leo kaniacha kwenye mataa!

    Pole sana kaka, bt sikulaumu kwan umepata historia
  2. lynne5311

    Nimefanya mapenzi na msichana mwenye UKIMWI

    kwani ww hujaoa? Mpaka ukahangaike!, au hata mchumba huna??, kuwa makini ndugu
  3. lynne5311

    Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

    Haja kimbia kosa angekua amekimbia kosa basi angemuacha tangia alivyokuwa mgonjwa hajiwezi,but huyo baba alitakiwa kuchunguza kwann mkewe alibadilika ghafla, naamini mkewe alibadilika kutokana na ushauri aliokuwa anaupata kutoka kwa watu tofauti, laiti huyo baba angegundua chanzo cha mkewe...
Back
Top Bottom