Wengine bado tunakosa, form zetu ziko vizuri na fani ni priority. Why only us. Wajaribu kutoa japo kwa asilimia chache...kama pesa haitoshelezi, kuliko kuachwa kabisa.
Kwa kweli hata mimi, namuomba ajaribu kuliangalia tena kwa wale waliofaulu kujiunga na vyuo wapate mkopo wote. Coz mwenye sifa ni yule aliyepata chuo. Au mwenye sifa anakuaje...? Labda tufahamishane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.