Search results

  1. Kitikiti

    Tetesi: Mkapa Anahusika na Sakata la Mchanga

    Muhimu sio kuwahukumu, bali sisi kujikwamua na pia kuwa na viongozi wazalendo kwa muda wote.
  2. Kitikiti

    Tetesi: Mkapa Anahusika na Sakata la Mchanga

    Nakuunga mkono Mkuu.
  3. Kitikiti

    Tetesi: Mkapa Anahusika na Sakata la Mchanga

    Jamani, tusizungumze kuhusu siasa, tujikite kwenye hatma ya Taifa.
  4. Kitikiti

    Tetesi: Mkapa Anahusika na Sakata la Mchanga

    Samahani unatuumiza sana, bado tuna machungu sana. Kwa TZ maneno matupu hayavunji mfupa. Ila kwa Magufuli yanawezekana.
  5. Kitikiti

    Tetesi: Mkapa Anahusika na Sakata la Mchanga

    Watanzania tunamjua Mh. Mkapa kwa 100%. Tuna mwachia MUNGU na Mkombozi wetu Mh. Magufuli. Roho inauma sana.
  6. Kitikiti

    Katika hili Magufuli uwe DIKTETA

    Naunga mkono 100%
  7. Kitikiti

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Hivi kweli wewe ni mtanzania? Au ni mmoja wa wanaosoma namba?.
  8. Kitikiti

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Kwanza huyo anayepinga angetiwa ndani. Ni mwizi. Ni yeye amevunja mkataba wake. Hana huruma. Nadhani hawa sio binadamu wa kawaida.
  9. Kitikiti

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Na kuunga mkono. MUNGU AKUBARIKI SANA.
  10. Kitikiti

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Hawa ukiangalia utajiri wa huko kwao, yaani Canada na Ulaya hata A. Kusini woote hao wanategemea Nchi zilizolala kama Tz. Alafu sisi maviongozi yana.. aiseeee inaudhi sana. Mh. MAGUFULI TUNAKUPENDA SANA. MUNGU AKULINDE MKUU.
  11. Kitikiti

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Ndio tunatishiwa nyau? Kwanza wanatakiwa wafukuzwe hapa sio kwao. Wametuibia sana tu. Hadi sasa sisi ni masikini na wao matumbo yamefura. Hivi ukweli tunafaidika nini toka kwao?. Hapa tulipo hatuna kitu cha kupoteza. Tunapigika kishenzi. Hawana huruma kabisa. Au ulishapewa chako?.
  12. Kitikiti

    Angalizo kwa Watanzania kuhusu mikataba ya kimataifa

    Watu tunakufa kwa ufukara huku tunaibiwa afu tuwakumbatie majizi?.Huo ni uchizi.
  13. Kitikiti

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Ni kweli, tusiangalie ki chama, kidini au kichuki. Tujiangalie kama wazalendo. Vyama vina matatizo na vinajenga chuki, hasa CCM na Wapinzani ( hawapendani). Hata wana CCM wenyewe au Wapinzani wenyewe kwa wenyewe hawapendani na wanakomoana. Tuangalie hatma ya wananchi wengi tunaoumia. Maisha ya...
  14. Kitikiti

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Kwa MAGUFULI hakuna unafiki. Hakuna kulindana. Atakulinda ukitimiza yaliyo na manufaa ya Nchi.
  15. Kitikiti

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Tume nyingi zinafanya makubwa. Angalia ya vyeti feki ambao walifukua madudu. Hasa sector nyeti kama afya na elimu.
  16. Kitikiti

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Bado huna imani na kinachoendelea?.
  17. Kitikiti

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    MUNGU WETU AMBAYE NI MMOJA TU (WawaIslamu na Wakristo) anatupenda na anatupigania.
  18. Kitikiti

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Hii ni Serikali ya MAGUFULI. Magufuli wa zamani alikuwa sio Rais. Magufuli wa leo ni wa tofauti. Je na hili sio la kumshukuru MUNGU?
  19. Kitikiti

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Mikataba ni ya kufutwa au kutupwa. Haina manufaa kwetu zaidi ya kutuumiza.
Back
Top Bottom