Search results

  1. R

    Kwanini ni aibu sana kuishabikia CHADEMA siku hizi?

    acheni hizo nchi hii ina uhuru wa kusema utakacho ilimradi usivunje sheria za nchi, sijao ni lipi magufuli kalifanya maana anayofanya ni wajibu wake sioni jipya hata moja
  2. R

    Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Salaam wandugu, Napenda kusema kwamba kama mtu mzima(mh. makonda) anaamua kumfunga kamba za viatu MH. ridhiwan alafu unatuambia hili gazeti lina zalilisha watu nafikiri hauko timamu kwasababu mh. Makonda hakushikiwa bastola eti asipofungwa viatu na mkubwa wake atamfunga jela, ni uamuzi wake...
  3. R

    Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

    kama kuna mtu ana wazo la kwamba lowassa atafunguliwa kesi na mwakyembe eti ni kwasababu sasa amekuwa uwaziri wa sheria anapoteza kuda sana ni bora fanya mambo yako kuliko kupoteza muda na suala la richmond, kwasababu ishu nzima rais mtaafu kuhusu hiyo richmond hapo mtasababisha rais wenu jk...
  4. R

    Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

    tupo tayari kuyasikiliza na kuyashuhudia mafisadi wote wanyongwe na kufiisiwa bila huruma
  5. R

    Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Hngera serikali ya Mh. John pombe magufuli kwa hatua hizo za kuimarisha elimu ya awali maana huo ndio msingi imara Wa awali kuwa na Elimu imara hapo baadae kwa watoto wetu hongera sana rais ====================================== Chanzo: Mtanzania
  6. R

    Lameck Airo: Nguvu ya soda ya Rais Magufuli ni ya muda mfupi

    Bora kasema ukweli kuwa ccm ni chama cha kulinda mafisadi sawa kabisa hajakosea
  7. R

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kiukweli hali ilivyosasa utadhani nchi ndio kwanza inapata uhuru, maana kila unapokuwa wananchi wana jadili kasi ya Rais na kusema hivi kama miaka yote hamsini iliyopita kasi ingekuwa kama ilivyo hii ya Mh. magufuli hili taifa hadi sasa tungekuwa tunaifukuza marekani kwa maendeleo hapo ki ukweli...
  8. R

    Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

    Huo waliokuwa wanausema sio ulaghai wewe unakuwa kama vile hujaenda shule, hata michezo yoyote hujacheza kabisa siku zote ukiwa katika mashindano hata katika siasa huwezi kusema kwa mpinzani wako eti jamani yule ni mzuri ukisema hivyo wewe kuna haja gani ya kuingia ktk kinyang'anyiro cha...
  9. R

    Lowassa: Polisi wasipochukua hatua, sisi tutachukua hatua wenyewe

    We utaishia kumbeza lowassa hupati faida yoyote, hakuna mtu muhimu kama lowassa, kwa taarifa yako, we fikiria hadi tume wamefanya kazi ya ziada kutangaza matokea ambayo magufuli hakushinda kwa dhati
  10. R

    JWTZ Ikabidhiwe TPA

    Kama huna ushauri acha fanya kazi ingine
  11. R

    Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Wewe unafikiri na kama unafikiri inamaana huna kitu kipya, huwezi kuanza kupiga ramli maana hiyo ni ramli, kwa taarifa yako, ingekuwa ni tofauti kbisa kwa jk na watu wake wengine jitosa baharini kama sio kujingonga.
Back
Top Bottom