Search results

  1. D

    Msaada

    Habari wakubwa nilikua naulizia kituo gani kizuri cha kufanyia mtihani wa form six kwa science (pcb) kwa anae resit yan private candidate,na taratibu za kufuata kujisajili. Kuna mdogo wangu anataka kurisit ,itakuwa vizuri mkiweka link kama itawezekana.
Back
Top Bottom