Search results

  1. Old Times

    Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    Ndugu utamu ukizid sana karahaaaaa, ndio maana mweshimiwa wa mbingun anakataza vtu hivyo lakin bado mnang'ang'ania tu, hii hatari kabisaa! Nadhan hii thread mngeipotezea ili tusi iharibu mud!
  2. Old Times

    Nimetembea na GF wa rafiki yangu

    Sawa kaka me nakubali we shababi, lakini samahan naomba kukuuliza nini lengo kuu la post yako hii, je ulikua unatka ushauri, kama ushauri je ni upi? au tuchangie nini? Nadhan kama we mwanume ulie kamilika sidhan kama ungeweza kusimama mbele ya wanume wenzio ukajinad kwa semi na tungo zako...
  3. Old Times

    Please...sema hata neno tu, waweza kumuokoa huyu mama!

    Napenda kumpongeza huyo mama kwa kua jasiri na muungwana kutaka kulizungumzia swala hilo, nadhan mpaka hapo ameshapata ahueni angalau kidogo, nadhan ni hatua kubwa katka kutafuta suluhu ya tatizo hili! kama walivyo sema walio tangulia hapo juu, swala ni gumu sana hasa ukisikiliza upande mmoja...
  4. Old Times

    Jihadhari na wanaume Wasukuma weupe

    Ndugu tupo wasukuma white kibao na tuu waaminifu, sasa sijui kama una uthibitisho wa kisayansi na sio wa kiimani kusimamia huo usem? kama hauna jiandaye kwenda kujibu mashtaka mahakaman! tehe tehe!
  5. Old Times

    Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

    Hii sio kwa ma men tuu, bali aki mama pia, nadhan ni dhana ilio ibuka miaka hii yakua na mpenz zaidi ya mmoja nikitu cha kawaida, na mbaya zaidi hata maandiko ya iman za kidin watu hatuna uoga nayo tena, kwa hitimisho tu kwa mtazamo wangu ni mabadiliko ya kifikira ya dunia nzima!
  6. Old Times

    nahitaji demu!

    Ndugu nadhan zpo sites nyingi za dating (lesbians na gayz wapo) ztakufaa, kwakwel si mimi pekee angu bali wote inaonekana hatujalipokea kabisa, nakushauri mara nyingine uje na mada itakayo changiwa na kila moja kwa aman kabisa, ushindwe na ulegee bila kusahau na utepete!
  7. Old Times

    Uchangudoa

    Me nafikiri sababu ziko nyingi sana ila kubwa ni urahisi wa kupata huduma nzima ya tendo la ngono, shababi anaona ni bora kupoteza buku 10 kwa usiku mzima amalize haja zake badala ya kua na dem ambaye akua anamkamua pesa za maana kila mara, au kuokoa muda wa kufukuzia dem kwa muda mrefu ili...
  8. Old Times

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Brother me nafikiri hujamuelewa au cjakuelewa, inawezekana shemej yetu ni silika yake kutordhka hata kama ungekua una mashine ya punda bado ungechumsha moja kwa moja siyo ma umbile yako angalia usije kuteseka kifikra na kimwili kwa gumegume mzeiya,lakini kama wewe na demu wako mnafikiri tatizo...
Back
Top Bottom