Hii panel tu inatuonyesha kuwa hii ndio tabia ya watanganyika kujadili mambo ya MUUNGANO ki-upande mmoja.
Hebu tuone katika mjadala huu ambao wanazungumzia muungano, kuna nani kati ya hao wanaojadili hapo ni wa upande wa pili (Zanzibatr) wa muungano huo wanaoujadili?
Hakuna mmoja kati ya hao...
Jamani kuuliza si ujinga.
Mwenzetu ameuliza Mbowe ana elimu gani? Sasa watu mnazunguka tuu na blaa blaa nyiiingi.
Kaka MBOWE NI PROFFESIONAL DJ.
Hop unawajua watu wa namna hii, FORM FOUR LEVER.
Wacheni kutuchanganya, Hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika, sasa tutasherehekea vipi kitu ambacho tumesema tukiuwe. Kama vipi tuifufue Tanganyika iwepo then tuanze kusherehekea uhuru wake.
Tusidanganyike Tanganyika haipo, kusherekea uhuru wake ni kujichanganya.
Tupiganie Tanganyika irudi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.