Search results

  1. M

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Nimepata hasira hadi basi,naona kama ni mke wangu kafanyiwa hivo niko tayari kufa nisingeweza vumilia ningemtafuta popote alipo kwa gharama yoyote ile
  2. M

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    this is painfull:taifa linakwenda kugawanyika yetu macho.mambo usiyopenda ufanyiwe usimfanyie mwingine mana lazima iko siku utalipia -
  3. M

    Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    upuuzi mkubwa basi sema tz ni mfumo wa chama kimoja
  4. M

    Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    Nin mashaka na imani yako??????????????????
  5. M

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Mfumuko wa bei ,kushuka thamani ya shillingi (Musumbiji pamoja na vita wako juu Mbaya), n.k. Hizo elimu za kudesa vyuoni ni dangerous
  6. M

    Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

    Fuatilia hotunba ya mbowe kuhusu vuguvugu la mabadiliko (M4C) akiwa marekani,(2012)Mbowe ni kiongozi wa karne kama humpendi mbowe kale malimau
  7. M

    Msimamo wa Lowassa na Magufuli kuhusu katiba mpya ni nini?

    ACT Wazalendo they are not even pritending,wako na mawazo ya ujamaa kitu amabacho kilikufa 30 year ago.nadhani wanahitaji kufanyiwa councelling.
  8. M

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Labda kuwe na burudani ya wasnii siku ya kupiga kura
  9. M

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    itakula kwake Arusha ni chimbuko la mabadiliko,bora afanye huko Geita
  10. M

    Leo nina furaha ya ajabu, nimevuna 14 wa CCM

    Nimefanikiwa kupata wawili leo,Rais Mtarajiwa alikuwa sanya,Ni rahisi sana tafakari hotuba ya MH Lowasa,hawajawhi kubadili maneneo hayo ameongea kutoka rohoni,ni kweli imani huzaa imani,na sisi tumemwamini kwamba elimu,Elimu,Elimu ni mkombozi kwa maskini,Hii nimeipenda sana maana elimu ndio...
  11. M

    Pale mgombea wa Urais anapowasimanga wenzake

    Is likely to become a dictator
  12. M

    Familia yenye nguvu na imani (Lowassa Familly)

    Hao wengine wamepata vyeo kwa matambiko maisha ya watoto wao yanatia huruma,
  13. M

    Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    at least umekubali kuwa ana nguvu hivyo anakubalika,the end justfies the means!!!!!!!!!!
  14. M

    Mgao wa umeme ukiendelea, Simbachawene kutoteuliwa Cabinet ya Magufuli!

    True,watanzania tunaanagamizwa na hela zeku wenyewe,mungu utuhurumie
  15. M

    Kwa wale mnaosema CCM imebeba watu Arusha, nionesheni picha!

    Pia Kuna usanii Sana. Shuleni anapofundisha wife waalimu walipewa t-shirt na kofia. Wakiahidiwa sh 40,000 Sasa CCM timizen ahadi zenu angalau hii ya kuhudhuria mikutano isije ikagharimu Chama
  16. M

    Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Good advice but too late,
  17. M

    Edward Lowassa ahaha kuhakikisha Julius Kalanga (CHADEMA) anapita bila kupingwa Monduli

    Mimi niko Monduli huu ni uongo wa kupuuzwa,unawajua wamasai vizuri au unaota,tusubiri tar 25/10.Kama huamini weka dau not less than 10M
  18. M

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Mbona pichani hakuna watu. Lakin Kuna picha za selilate zinawrza saidia upelelezi
  19. M

    Sasa itoshe basi,CCM na Bulembo acheni kutusakama Walutheri

    Ki Mun Sisi Walutheri hatupendi vitendo hivyo kwanini lakini. Hivi ni vita silaha yetu ni maombi Kuna ule wimbo unasema, a might fortress is our God tusimame pamoja kukataa ubaguzi wa namna hii
  20. M

    Yanayojiri Monduli: Mkutano wa Edward Lowassa - Uwanja wa Barafu Mto wa Mbu

    Wewe ni mpumbavu,unatumia muda mwingi kujadili afya ya mtu,laiti ungejua kuwa wewe ni marehemu mtarajiwa.Mshukuru Mungu kama unaona uko na afya mana kesho yake siajabu ni mbaya kuliko ya huyu unayemsema sana
Back
Top Bottom