Critical thinker,ni faraja kuona bado kuna watu mnaofikiri kwa kina na mapana bila kuyumbishwa na upepo wa kisiasa.
Mimi hua napata shida sana nikisoma michango ya watu,mpaka unajiuliza hivi kweli hawa watu wanatumia akili?
Asante sana mkuu kwa mchango wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.