Search results

  1. ajua

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    ccm wanacheza na moto wa arusha hawakusoma alama za nyakati
  2. ajua

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    safi mkuu ila hapo kwa nape uwiiii wrong
  3. ajua

    Mnyika: Ripoti za Mwakyembe kuhusu madudu bandarini ziwekwe wazi, sio kutumbua majipu tu!

    atatumbua lakini lazima menngine ataweka kapuni
  4. ajua

    Magufuli amewaumiza watumishi wa umma!

    magufuli hawezi kutikisa visiki vilivyo mchimbia ikulu atatikisa wengine lakini kwa bwana para na kundi laki kiboko yake
  5. ajua

    Sababu ya CHADEMA Kulazimisha Marehemu Mawazo Aagwe Viwanja vya Furahisha

    jeshi la police mbona hamjiamini
  6. ajua

    Dharau za Lema kwa wana Arusha!

    wamshe lema hao walio lala mapaka pepe
  7. ajua

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    kwa nini usifute na kukimbiza mwenge kila mwaka badala yake usimikwe tu sehem maalum
  8. ajua

    Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

    kachinjiwa baharini
  9. ajua

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    alikumbuka kuvaa mkanda kweli
  10. ajua

    Usichague UKAWA, Usimchague Lowassa, Chagua CCM, Chagua Magufuli, Chagua Amani

    ukichagua ccm umekubali bei ya kununua cement 16000,mm12 ya nondo 18000,kilo1 ya sukari 2500,wagonjwa 2kitanda1,dawa ukanunue maduka ya dawa nk
  11. ajua

    Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

    siwezi kukulaum maana wengi wanaofaidi kutokana na ubovu wa sheria za tz wanafurahia kama wewe
  12. ajua

    Message from Juma Mwapachu

    kwa nini mlishindwa kumpeleka mahakamani mbona mna maneno mengi ambayo hayewezi vunja hata mfupa
  13. ajua

    Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

    aaaaaa sheria ya tz ubabaishaji mwingi
  14. ajua

    Sifa kemkem kwa Kikwete, Rais wetu hutosahaulika

    kwa uongozi wake usio kuwa na dira maalum hatasaulika kamwe
  15. ajua

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Deo deo deo ulikuwa zaidi ya wapinzani kaka rip mimi ni ukawa lakini ww nilikuwa nakuaminia sana ulikuwa jembe kweli chema hakidum
  16. ajua

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    duuuuuuuu huyu jembe sana mi binafsi namfagilia sana jamani eeee MUNGU tusaidie mbona hii balaa
Back
Top Bottom