Search results

  1. K

    Said Lugumi avunja ukimya, atoa taarifa kwa vyombo vya habari

    hahahahahahaha wabongo kweli noma, kila jambo tunalivalia njuga kuliongelea hadi basi wakati halina ukweli wowote.Kweli wabongo kwa Uzushi tumepitiliza.Ifike pahala tuache uzushi lol.
  2. K

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    migogoro yenu ya kimaslahi isiwafanye kumdhalilisha mama wa watu, nani anaweza kuwa na uwezo wakuipata hiyo video kama si watu ambao wako karibu na mama wa watu, hili si la kufumbiwa macho, tunaomba hatua za kisheria zilchukuliwe Tafadhali. kama kipaumbele wamepewa wengine fahamu wanauwezo...
  3. K

    Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Wakati wewe unaambiwa ukapambane ulinde kura,uhatarishe amani ya nchi yetu, mwenzio anaekwambia hivyo anapiga hela bila wasi wasi wowote, ananufaisha familia yake na tumbo lake bila kuwajali watanzania.
  4. K

    Siku kama ya leo

    siku kama ya leo hii ndio itakua ratiba yangu ya kwenda kumstaafisha mtu siasa.
  5. K

    Mbowe: Cultist, Manipulator, Cruel, Untouchable chairman of CHADEMA for Life; Dictator in the making

    naomba nimwambie mboyiii,ikulu sio pango la walanguzi,ikulu ni mahala patakatifu
  6. K

    Hotuba za Mzee Mwinyi, Dr. Shein na Dr. Magufuli Mnazi Mmoja Zanzibar

    nahitaji mabadiliko, mabadiliko ni maendeleo, maendeleo yataletwa na kiongozi mwadilifu na mchapakazi, kura yangu kwa Dr John Joseph Pombe Magufuli
  7. K

    Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    wacha kuota ndoto za mchana ukiwa umefumbua macho.
  8. K

    Tumbo ni deni la maisha sio lazima kulipa kila siku.

    tunajichimbia kaburi letu wenyewe, mungu atuepushea na janga hili.
  9. K

    Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    mungu akupe afya njema rais wetu dr john pombe magufuli uwafikie wananchi wengi zaidi na zaidi.
  10. K

    Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    kweli Dr John Pombe Magufuli ndio rais wa awamu ya tano hakuna wakupinga
  11. K

    Dr Magufuli atakuwa Rais wa Tz na hakuna mwanadam mwenye nyama kama mimi nawewe atamzuwia

    Hakuna wakupinga hilo. Dr John Pombe Magufuli ndio rais 2015-2020
  12. K

    UKAWA kutangaza matokeo ya urais bila tume ya uchaguzi ni uchochezi

    Naona wanazidi kujitekenya alafu wanacheka wenyewe, kwani upawa wamekua ni tume ya uchaguzi. hivi kweli vioja.
  13. K

    Sumaye haeleweki anachosimamia

    Mr Zero yeye mwenyewe hajielewi, wewe utamuelewaje anacho kisimamia.
  14. K

    Lowassa kustaafu siasa

    ikulu sio pango la walanguzi
  15. K

    Wapo waliojaribu kupambana na system ila mwisho wao haukuwa mzuri

    ukweli unauma. ila inapaswa kuupokea tuh.
  16. K

    Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

    pongezi nyingi kwako kwa maneno yenye ukweli usipiongika, kutokujifanya huelewi nini kinamaanishwa hapa wewe utakuwa mshabiki tena shabiki nazi, kwa sababu ni kweli falsafa ilitufanya tuamini chadem ni chama cha ukombozi sasa hakuna tena, tunapaswa kutafakari na kujenga chama upya sio...
  17. K

    Lowassa kustaafu siasa

    maono yangu, naona litakua jambo la busara kama mahakama ya mafisadi ita mshughulikia mara baada ya uchaguzi kuisha kwa sababu ameshapiga sana
Back
Top Bottom