Search results

  1. I

    Nikisema viongozi wa dini ni wanafkini ni kosa kwa hili?

    Huna tofauti na anaekataa shule kisa walimu ni wezi, mbumbumbu. Kama unadhani utaishi milele acha dini.
  2. I

    UCHAMBUZI: Dogo kapewa "exposure"

    Huyu dogo siku zote alikua mstari wa mbele kuleta choko choko za muungano akishirikiana na bosi wake Rais mstaafu wa visiwani. Hii exposure anayopewa ya ulaji kwenye serikali ya JMT itasaidia kumnyamazisha?
  3. I

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Tanzania Fact sheet: Christians 30% Muslims 35% Others 35% Source: CIA Website. Choko choko za udini mara nyingi huanzishwa na kundi la pili hapo juu. Nawashauri wasifanye hivyo kwa sababu mwishowe hawatakuja kutawala Tanzania TENA kwa sababu kundi la tatu ni rahisi zaidi kujiunga na la kwanza...
Back
Top Bottom