Search results

  1. M

    Mabenki Mlimani City chanzo cha mauaji

    UJAMBAZI MLIMANI CITY Wadau, habari za asubuhi; Hapa maeneo yetu kuna msiba umetokea. Marehemu ameuwawa na majambazi. Alichukua fedha (milioni 10) kutoka Benki mojawapo hapa Mlimani City na kuanza safari ya kuelekea huko Salasala ambako alikuwa na shughuli ya ujenzi inayoendelea. Majambazi...
  2. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Usisahau kuzukia mashirika ya umma kama TTCL, TANESCO, etc
  3. M

    Magufuli aliwahi kumnadi Ridhwan Kikwete?

    Je ndio huyu Riz ambaye ni rafiki Ghalib wa iliyokuwa HSC ambayo ilijitangaza mufilizi.
  4. M

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Nimepigwa name butwaa baada ya kusikia hiyo marufuku ya kusafiri nje ya nchi. Nijuavyo wanaosafiri nje ya nchi huwa wanakuwa na shughuli mbalix2 ikiwa no pamoja na kwenda kusoma Kwa muda mfupi au mrefu, kuhudhuria mikutano mbalix2 ya kibiashara, kiufundi, kwenda Kwa ajili ya matibabu, n.k. Je Dr...
  5. M

    Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan

    Hebu imagine Makamu Wa raisi Tz ni nafasi ya zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi 600,000
  6. M

    Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Jamaa wenye transmitter zinazo-intefere signal za ITV wako pale uwanjani rwandanzovwe. Wanahujuma matangazo ya itv
  7. M

    Elections 2015 Magufuli atashinda lakini mabadiliko hayaepukiki

    Jpm angekuwa chama kingine ningempiga kura yangu lakini kwa kuwa bado yuko ccm siwezi siwzi
  8. M

    UVCCM wafanya Press, waionya UKAWA wataka Kampeni za Hoja, wasema wamejiandaa.

    Heri kuchagua jiwe kuliko sisiem wametupa umaskini na yale maisha bora waliyoahidi hatujawahi kuyaonja
  9. M

    Dhambi ya usaliti aliyo nayo Lowassa ilianzia kwa baba yake mzazi wakati wa kudai uhuru

    Kama hayo uliyoandika ni sahihi nenda mahakamani kafungue kesi dhidi ya lowassa
  10. M

    Sasa nimeelewa hoja/shida ya wana-UKAWA

    RIP sisiem. Salimia KANU, Nyerere na simba Wa vita
  11. M

    Juhudi za CCM kumbeba Magufuli zimezidi kugonga Mwamba

    Mwaka sisiemu wamelamba dume hawaponi hats kwa goli LA mono. Chama kitaondoka name prof Wa kichina oktoba 25
  12. M

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Kuhama chama ndiyo demokrasi ya kweli ya vyama vingi
  13. M

    CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

    Mimi ni mhandisi mwanachama CDM
  14. M

    Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA

    Safari hii magamba hamtapona mtasambaratika na kutawanyika kwa njia saba, na ndipo andiko litatimia
  15. M

    Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA

    Safari hii magamba hamtapona mtasambaratika na kutawanyika kwa njia saba, na ndipo andiko litatimia
  16. M

    Anna Tibaijuka, Andew Chenge na Wiliam Ngeleja, wasimamishwa Ujumbe wa NEC na Halmashauri Kuu ya CCM

    Kwa kweli mwisho Wa mzee Wa vijisenti umefika kwa hili hachomoki, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Back
Top Bottom