Search results

  1. suuza rungu

    Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    Yangu ni hayo tu
  2. suuza rungu

    Magufuli azomewa tena. Ni Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi

    Hapa kazi tu mnataka kazi ya kuliwa mzigo haya kaeni mkao wa kura maana nyie wote mbaokufa na ccm yenu ni wale mnaogeuza ccm Kuwa ndio biashara yenu Bila ccm mtaolewa hapa mjini Namimi nasema HAPA RUNGU TU TUTAWASUUZA MZIGO MPAKA MPATE mimba
  3. suuza rungu

    Hivi UKAWA Mnadhani mama Maria Nyerere sio mwanachama wa CCM?

    Eti watu wanaongelea sijui lisu yupo wapi sijui nani kwanini mnajiuliza mtu mmoja kwani mtu mmoja anapiga kura ngapi ??? Kura moja tu sasa mbona hamulizi mafuriko ndio wapiga kura wengi na muhimu
  4. suuza rungu

    Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    Wacheni habari za magufuli tukumhushane tarehe 25 kwenda kuwamwaga hawa jamaa wa sisiemu kwa kishindo yani kumuua nyani huku unakuangalia usoni
  5. suuza rungu

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Magari yenyewe wanajulia uzeeni kwajili ya hela haramu za wananchi wenye maisha magumu Huyo jamaa anajiamini sana utasema yeye ndio mrithi wa hayati nyerere maana anapenda kuongea kiukali Bila kujali anaowatusi ni wakubwa zake na wapo kwenye game miaka mingi tokea yeye anaoshwa nnya Haya sasa...
  6. suuza rungu

    System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    Tulia dawa ikuingie vizuri wewe kada tarehe 25 dec jiandae utuvalie kanga moja na shanga kiunoni
  7. suuza rungu

    Wacheni maneno mengi

    Wana ukawa nawaomba tuache maneno mengi ya malumbano na hawa chama mzee cha ccm kwani kulumbananao ni sawa na kupoteza muda kwenye mchezo wa bao hali ya Kuwa watu wapo makazini wanapiga hela Ushauri wangu kwa wanachama na wapiga kura wote wa ukawa ni huu Wakati ndio huu zimebaki siku chache...
  8. suuza rungu

    Mwenzenu leo nimeamua kukazia Hukumu, "Simwangalii Nyani Usoni"

    Mimi napiga kuanzia huyo diwani mpaka raisi tena ingekuwa kupiga kura hakuna siri yani tunawekewa masanduku mbele ya wagombea kila mmoja na lake basi ningewachinja huku nawaangalia usoni nyamafu hawa ndorobo yani nina hasira hapa sipati picha sherehe la kuapishwa lowasa huo mkesha wake mziki...
  9. suuza rungu

    Mwenzenu leo nimeamua kukazia Hukumu, "Simwangalii Nyani Usoni"

    Na tuwatupe mbali sana hata kumbukumbu yao itoweke na isiingizwe kwenye vitabu vya historia hakuna jinsi nyingine ccm waondoke tu hamna namna nyingine
  10. suuza rungu

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Mwambie huyo mgonjwa wa ccm atulie dawa iingie vizuri na tuwatibu tu maana hamna namna nyengine ndio washakuwa wagonjwa wa mapenzi ya maradhi ccm
  11. suuza rungu

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Hii taarifa imekaa ki ccm ccm yani ni taarifa ya kampeni Kwa taarifa yako mimi pia ni muislam na siungi mkono hoja yako na naamini wewe ni kibaraka wa ccm na huu uzi umeweka kwa malengo ya kumchafua raisi wetu lowasa Lowasa oya eee baba lowasa waIslam wengi tupo pamoja nawe na kwakweli...
  12. suuza rungu

    TBC, Star tv na Channel ten mmefanya tathmini ya watazamaji wenu kipindi hiki?

    Ni nani anaengalia hizo chanel kipindi hichi??? Mimi kwa upande wangu nilishazifuta kwenye kigamuzi changu maana sijapendezewa na kujipa imani eti naangalia habari na kumbe naangalia kampeni za ccm kupitia hizo tv Najuwa hawajali kabisa kupoteza waangaliaji wa tv zao ila nawasikitikia kwa...
  13. suuza rungu

    Magufuli ametumia muda mfupi sana kuivuruga ngome ya Lowassa

    Tutaendelea kutawaliwa na huu utawala wa ccm ikiwa Kuna watu kama hawa ndio wanao iunga ccm hali ya Kuwa majina yao tu ni JINGALAO??? KWELI KUITOA CCM MADARAKANI NI MPAKA HAWA MAJINGA WAMALIZIKE WABAKI WAJANJA TUPO KAMA UKAWA
  14. suuza rungu

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Sikonge Said Nkumba na mamia ya wanachama wa CHADEMA, warejea CCM

    Tulia wema sepetua sindano izame kunako hilo pango lako la wawekezaji majambazi ccm mtarudi mitaani kuuza papa tukishawamwaga hao mabasha zenu
  15. suuza rungu

    Rais Kikwete na Tundu Lissu wakutanishwe

    Huyo mkuu wa kaya na aseme tu alikula ngapi hamna namna nyingine Lowasa Bega kwa Bega mpaka tunaingia magogoni kwa vishindo
  16. suuza rungu

    Wacheni malumbano tupige kura

    Watanzania wenzangu nawaomba tuache malumbano na badala yake tujitokeze mwa wingi kupiga kura na kuchagua uongozi mpya wa chama kipya yani ukawa Tusisahau hakuna lenye mwanzo likakosa Kuwa na mwisho Au hakuna mwizi asiekuwa na arobaini yake Tukumbuke hata mke huachwa na kusahauliwa kama...
  17. suuza rungu

    Tumpongeze Jakaya Kikwete wenyewe

    Alihaha huku na kule kutafuta wawekezaji au washirika wa biashara zake na kuhakikisha anauza maeneo mengi ya nchi na Kuwa na maeneo makubwa ya mashamba yake na riz 2 Hapo tutamkumbuka sana au hutaki???
  18. suuza rungu

    Mali alizochukua Mkapa na familia yake

    Hebu tuulizeni sisi wazee wa kuzama kwenye habari za ndani zaidi Mkapa na kiwanda cha sukari mtibwa Vp kuhusu mzee wa kaya na vituo vya mafuta vya duma
Back
Top Bottom