Search results

  1. M

    Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

    Nape hajui atendalo amekigaramisha chama sana kwa kauli zake za kejeli na majigambo akifikiri watanzania wasasa ni wale wa mwaka 95 itakula kwao mwaka huu
  2. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Hawana jipya nape mropokaji tu
  3. M

    Makongoro Nyerere: Edward Lowassa ni muongo, fisadi na alituiba pesa kupitia Richmond

    Mpeleke mahakamani acha kuongelea kwenye vyombo vya habari ameshasema
  4. M

    Dr. Mwakyembe tumekusikia, Sasa tuambie ukweli kuhusu ile siri mliyoificha kuhusu Richmond

    Mwakyembe hana shida na hata taarifa aliyotoa ya Richmond aikumuhusu moja kwa moja mzee LOWASA
  5. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Nape anakauli za kiuni nani mtu wa visasi hivyo basi kwa akiasi kikubwa anakiua chama cha mapinduzi rais jk lione hilo kunusuru chama
  6. M

    Kama Lowassa unasema Richmond si ya kwako, ile Mvua ya kutoka Thailand ni ya nani?

    Tatizo ccm mlijiamini sana kuwa hakuna atakaye weza kuwatikisa sasa mmefika mwisho nape anauwa ccm kwa kauli zake za kihuni
  7. M

    Kwanini CCM wameumizwa sana na Lowassa kuhama chama?

    Mzee lowasa anajua mbinu zote za ccm sasa wamekwisha hawapati nafasi ya goli la mkono
  8. M

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    CCM hawana jipya tuna hitaji mabadiliko yakweli kutoka ukawa
Back
Top Bottom