Search results

  1. M

    Elections 2010 Tume ya uchaguzi Tanzania yakataa dai la upinzani.

    Ni sahihi Tume kukataa dai la upinzani kuwa kura zihesabiwe tena. Ni kweli pia hata kama zitakuwepo kura za zitakazoongezeka kwa Slaa, bado hazitamuwezesha kuwa rais. Hayo si matokeo ya mtihani ambayo wanafunzi waliofaulu wote kwa ujumla wao wanasonga mbele, bali matokeo ya kura ni kumtafuta...
  2. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za Tanzania. CHADEMA wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa, Iringa na Rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na...
Back
Top Bottom