Search results

  1. S

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    hata akipinga Kikwete atakuwa raisi tu. aende Vatcan akapinge
  2. S

    Elections 2010 Kwa nini Zitto alijitoa kugombea Uenyekiti Chadema?

    hakuna majibu? Ni ukabila umezidi chadema.
  3. S

    Pinda amechukua rushwa? PCCB waende kumhoji!

    Uzushi mtupu jamaa kashindwa kiharali kabisa. Darasa la saba sio sababu
  4. S

    Elections 2010 Kwa nini Zitto alijitoa kugombea Uenyekiti Chadema?

    Wana jamii nipeni jibu
  5. S

    Elections 2010 Wananchi wa Rorya wanahitaji kuamshwa...

    Shule nini tunataka maendeleo Mpeleke Mbowe shule
  6. S

    Elections 2010 Mwanza hali si shwari

    Huu uzushi kabisa Mwanza Safi nimepiga simu sasa hivi acheni uzushi
  7. S

    Elections 2010 Inasemekana Wenje alikataa mil 900 za kumwachia jimbo Masha!

    Millioni 800 nyingi sana na gari Huu ni upuuzi kama huna mada kaa kimya usidanganye watu acha upuuzi
  8. S

    Elections 2010 Mikoa ya Kuamshwa 2015

    Chadema ni chama cha vurugu. Nawashauli jiungeni na chetu cha CUF kimejaa heshima
  9. S

    Elections 2010 NEC ni taasisi mojawapo kama uvccm na uwt ndani ya CCM, hili limewekwa hadharani

    Chadema lazima kushinda au haki mnayoijua ni mpaka Chadema ishinde Pia ni haki CCM kushinda sio lazima Chadema Haki ni pande zote
  10. S

    Elections 2010 Ngome ya chadema rukwa imechakachuliwa yote...

    CCM imeshinda kuna wakubwa CCM walitaka Sumbawanga mjini ichukuliwe na Chadema imeshindikana. CCM iko juu:smile:
  11. S

    Elections 2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

    Ametaka mwenyewe yeye nani kama analeta vurugu polisi wanajua kazi yao. namshauri asitetea mtu alie shindwa wa nini? :hippie:
  12. S

    Elections 2010 Dr. SLAA USIKUBALI, HAIWEZEKANI UMATI WOTE ULE UKUSALITI!

    Kuwa na umati mkubwa sio kuwa wote watakupigia,wengine hawajawahi kuona helicopta jamani, Hata chizi akivua nguo watu huwa wengi. Slaa bado sana hamuwezi Kikwete Kikwete mtu wa watu Hongera sana Kikwete
  13. S

    Elections 2010 Majimbo yenye utata mpaka sasa

    Ubungo,Hai,Maswa,Ilemela,Kawe,Moshi Mjini,Mbeya Mjini,Rombo,Meatu Wamechakachua sana
  14. S

    Elections 2010 Hivi Baraza la Mawaziri la Kikwete kama akishinda litakuwaje?

    Kikwete atashinda na baraza la mawaziri litakuwa nzuri sana
  15. S

    Elections 2010 Rostam Ashinda kwa Kishindo tena

    Hongera sana Muheshimiwa Rostam wananchi wa Igunga tuko na wewe
Back
Top Bottom