Search results

  1. rais15

    Nina hakika hili baraza halikuwa chaguo la Mheshimiwa JPM

    Watu mtambue muhongo hakuhusika na escrow,
  2. rais15

    Tukae kimya, haya malalamiko yalipaswa kuanza tangu ujio wa Lowassa na kukabidhiwa kijiti

    Jamani hivi Chadema + ukawa humu walishajiondoa?,mbona maswali yanaletwa watu hawajibu wako kimya tofauti na kipindi cha kuhamia lowasa chadema,kipindi cha kampeni,kuhesabu kura,nikaona joto linapungua taratibu baada ya magufuli kuapishwa raisi na sasa ndiyo kimya kabisa
  3. rais15

    Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Hayo ndiyo yaliyobaki,kamwe siwezi kujifunza lolote toka kwa lowassa,mnataka kutuaminisha ni mtu mwema,hamtupati
  4. rais15

    Mangula na Kinana wajibikeni wenyewe kabla wana CCM hawajachukua hatua

    Hivi raisi ni nani kwa sasa,chama gani kimepata wabunge wengi?
  5. rais15

    Pole sana DC Makonda; Wabunge wote UKAWA, Halmashauri UKAWA, Meya UKAWA

    Kumbe nia yenu ninyi ukawa ni kuzuia maendeleo?,sasa subirini kumbe hamtufai khata kidogo bora tuwatafute ACT
  6. rais15

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Kanda ya ziwa wameshtuka nao wameona watu wa kanda ya kaskazini wanampa taf lowassa,lakini magufuli hana nafasi hivyo wakajiongeza kwamba kila watu wamuunge mtu anayewahusu ndiyo maana mamvi kaishiwa nguvu sana,alitegemea kanda ya kaskazino walishamsupport,waluteri,akajua kanda ya kati na kanda...
  7. rais15

    Uchovu wa CCM wadhihirika Morogoro

    Duh malofa wanaoishabia ukawa upinzani hovyo,ukabila na ukanda umeshindwa,ahsante mungu,kanda ya ziwa walishtuka
  8. rais15

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Hatumuitaji,tuliwaalika,Mufti mkuu,Polycap Pengo,Malasusa,wengine hatukuwahutaji
  9. rais15

    Tanzania kuwekewa vikwazo kimataifa?

    Wapinzani subirini 2065 mjaribu tena
  10. rais15

    Ushauri wa rais wa awamu ya tano kuhusu uteuzi wa mawaziri

    Nyie pangeni safu yenu ya upigaji Chadema,ya ccm tuachieni wenyewe,hao mliowataja lazima wawepo,Mwakyembe, mwagulu,lukuvi lazima wawepo ili mafisadi waliokimbilia kwenu warudishe rasilimali zetu
  11. rais15

    Hongera Zitto Zuberi Kabwe

    Hongera zitto,kuna watu wana roho kama shetani sharti kuwaonyesha jinsi ulivyokuwa unaminywa na Chadema
  12. rais15

    Watanzania wachache na kujidanganya juu ya utawala ulazimishwao.

    Hizo tabia utakuwa nazo wewe jet salli,hao vibaraka hawawezi sababisha nchi isitawaliwe
  13. rais15

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Nafasi ya pm inahitaji mtu mwenye misimo na mwenye utu uzima na busara anaweza kuwa lukuvi
  14. rais15

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Hapo makamba anafit kwenye science na tech,muhongo atarud madini,mwakyembe kuna hatihati hapo ujenzi,utalii au sheria na katiba
  15. rais15

    Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

    Kwa shari hatoweza ataishia segerea maana hana immunity huyo
  16. rais15

    Lowassa na mamluki wazungu waliotaka kuhujumu nchi kwa kuingilia mawasiliano ya NEC

    Ndiyo atafungwa sasa ngoja aapishwe magufuli
  17. rais15

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Subirini tumuapishe magufuli,ndipo tutaona kama icj ina nguvu ya kuitoa serikali madarakani au laah
Back
Top Bottom