Search results

  1. cleylivi

    Wanafunzi ambao hatujaandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, Utaratibu NEC ukoje?

    Jamani inaniumaa kukosaa haki yangu ya msingi kutopiga kura,, mbona sisi wa mikoani hasa tunaosoma vyuo Dar es Salaam tumetengwa. Mfano mimi wa Bukoba nilikuta washamaliza zoezi la kujiandikisha. Mwenye idea kidogo kama kuna utaratibu mwingine wa kufanya ili kujiandikisha anisaidie maana...
Back
Top Bottom