Search results

  1. T

    Slaa ni muda wake wa kukubali matokeo,.

    Kipindi hiki cha uhesabuji wa kura karibu kimemalizika na kilichobaki ni kutangazwa kwa mshindi wa mgombea wa uraisi kwa tanzania bara, hivyo basi slaa inabidi akubaliane na matokeo na sio kuanza kugomea matokeo, hiyo ndio reality , kilichobaki tutazame mbele maendeleo ya nchi yetu na sio kuanza...
Back
Top Bottom