Search results

  1. M

    Mwigulu na uongo wa mkutano wa Calfornia U.S.A ; ahutubia watu 16

    Huu ni ukweli kuhusu kufunguliwa kwa tawi la CCM OAKLAND. Ukweli embu waulize wote waliokwenda kwenye huo mkutano wanafanya nini Marekani na wameishi miaka mingapi ni kichekesho kitupu
  2. M

    Rais amefikia 6% ya ahadi zake kwa sasa au hutaki basi chungulia hapa

    Mkuu atayatimiza hayo yote wakati gani vipi wakati amekuwa Rais wa Mazishi kila leo yeye anafikiria akamzike nani, ni kiasi gani anachotumia kwenda kuzika na msururu na ulinzi
  3. M

    CHADEMA yaandika historia kwa kushinda ndani ya ngome ya CCM

    HATIMA YA LOWASSA Hii inanikumbusha Mzee malacela wakati alipoutaka Uraisi, lakini kumbuka ndani ya ccm wapo watu waliokua na agenda zao na walifanya kila liwezekanalo asiwe Rais. Nayaona hayo hayo Kwa Lowassa, sasa naamini hata issue ya Richmond ilikua ni mtego kwa Lowassa na akanasa. Ndio...
  4. M

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Siku ya nyani kufa miti yote inateleza,sawa wamemuuondoa Lema hao waliitwa mafisadi na kujiuzulu bado wapo wanadunda. Mkapa kaenda Arumeru kasema wapinzani ni wapuuzi, akaongelea ukombozi wa CDM ni wa kipuuzi nchi ilishakombolewa na CCM, haya kaanza tumeikomboa south africa, zimbabwe, namibia...
  5. M

    Huyu ndiyo waziri wa serikali yetu

    wana JK yeyote mwenye taarifa ya kiasi gani Rostam huchangia kwenye uchaguzi kwa ccm nataka kujua
  6. M

    Huyu ndiyo waziri wa serikali yetu

    CCM wengi wao ni wapenda ngono ndio maana akina Rostam wanaweza kuichezea nchi huku wengine wakifikiria ngono usiku kucha, lakini wajue umri unakwenda mtaondoka tuu
  7. M

    Huyu ndiyo waziri wa serikali yetu

    ndiyo maana akina Rostam wanatawala wengine mnabakia kwenye ngono tu
  8. M

    Kiutawala: Namfananisha Maalim Seif na Queen Elizabeth I

    naye Zitto asipokua mwangalifu atazama kama Seif
  9. M

    Kiutawala: Namfananisha Maalim Seif na Queen Elizabeth I

    Kwa kweli mkuu Seif Hamad ni mroho wa madaraka na atajuta. Ninge mueshimu kama asinge kubali kuwa makamu wa kwanza wa rais wakati rais yupo tu hata mjinga gani anaweza kuiona lakini Seif hakuona hilo, sasa sijui nimwite nani. La busari angemchagua mtu toka CUF kuchukua hiyo nafasi yeye abakie...
  10. M

    Sitta:Chadema waruhusiwa kumkataa JK......................

    Kitendo cha Chadema kususia hotuba ya Kiongozi aliyechaguliwa na NEC iliyoundwa na CCM makusudi kabisa ili kulinda maslahi yao ni cha kishujaa. Watanzania wengi hasa vijana wamefunguka macho, bado vijijini lakini hata hao wa vijijini wamestuka na huo ni mwanzo mzuri. CHADEMA tuookoeni miaka 49...
  11. M

    CUF waishambulia CHADEMA

    Jamani vyama vya upinzani,mwazo mzuri tumeuanza tupendane, tushirikiane tutawaondoa CCM madarakani, CCM wameungana wanabebana na sisi kambi ya upinzani tusibebane ila tulitete taifa letu
  12. M

    Elections 2010 CHADEMA kuleta hoja ya kumuondoa Kikwete madarakani

    Kinacho niuzi ni jinsi CUF walivyodanganyika, embu angali Seif kadanganywa na u makamu wa rais huu ni uchu wa madaraka na sio upinzani sas yeye ni mtumishi wa serikali ya CCM lazima aitete serikali na sio wananchi sasa maanake nini? Asinge kubali angebakia kwenye upinzani wana wabunge wa kutosha...
  13. M

    Sophia Simba hajui kiingereza?

    Jamani nauliza, ningependa kujua elimu aliyo nayo Yusufu Makamba
  14. M

    Sophia Simba hajui kiingereza?

    Hii jamani inaonyesha jinsi serekali ya CCM inavyobebana sijui lini tutajikomboa na hawa wana CCM. Cha msingi ni kulimishana vijana wote Tanzania. Kumbuka CCM inawarubuni watu wa vijijini wasiokua na elimu mungu siku moja atawalipa yote kuwatumia wanyonge ambao inawanyima elimu ili iweze...
Back
Top Bottom