Search results

  1. gmosha48

    Hii ina maana gani?

    Ndugu mteja, kuanzia trh 07/04/2018 faida kwa mauzo ya LUKU itakua 0.9%. Asante. Selcom - Inatosha!
  2. gmosha48

    Hili la kuwatoza wageni Dola 100 ili kuwasajili lina ukakasi.

    Nimeona kwenye gazeti tangazo kutoka NIDA, linalotaka wageni wakaazi halali kwenda kusajiliwa. Sina uhakika sana na nia ya usajili huu, lakini kuna jambo moja lipo wazi. NIDA wanataka kukusanya hela kupitia mchakato huu. Cha kujiuliza, kama wageni walifuata taratibu zote halali za kuingia...
Back
Top Bottom