Search results

  1. S

    Hajawahi kuniambia kama namridhisha

    ukiona hivyo ujuwe bado kazi yako haijawa ya ukweli, hauitija kuambiwa utaona response yake wakati unakula kazi. na kazi yako ikiwa nzuri siku nyingine mwenye atakukumbusha marudio ya game
  2. S

    Ni muda gani mwanaume unatakiwa kumaliza kupanda mlima?

    cha msingu usingi usiwe na premajure ejaculation, na uwe na uwezo wa kuendelea baada ya kilele, ila la kuangalia zaidi je mwenzio nae amefika mahala pake au unajiangalia wewe, ujuwe tunafanya yote ili wenzetu wajisikia raha sana na wafike sehemu ya kuwafanya waridhike na wafurahi kwa kuwa nae...
  3. S

    Kuwa mbunifu

    ubunifu na mawasiliano ndio nguzo, unaweza ukawa mbunifu lakini kumbe mwenzio akawa hajapenda ubunifu uliuongeza ikawa kero tena, mawasiliano muhimu
  4. S

    Kutofikishwa kibo kunaweza kukufanya ubadili ubadili mwongoza njia?

    mmh wewe Gaga hakuna kitu kama hicho, hakuna sugu wala iliyokomaa, kila kitu na ufundi wake, inahitajika ufundi binafsi na uelewa na hiyo sanaa pamoja na mawasiliano mambo yote yanakuwa powa
  5. S

    Wanawake na hofu ya kusaidiwa na nyumba ndogo

    maisha ya siku hizi yanawaharibu sana wanawake katika maadili ya zamani ya kumuona mwanaume yupo juu yao na anahitaji kuheshimiwa na kumjali kama mtoto asiyekuwa. unakuta mwanamke anafanyakazi kama mwanaume au zaidi matokeo yake anarudi home late na kukuta mume amesharudi na kukosa huduma muhimu...
  6. S

    Kutofikishwa kibo kunaweza kukufanya ubadili ubadili mwongoza njia?

    katika mapenzi mawasiliano ni kitu cha msingi sana, kama haufikishwi unatakiwa uwe muwazi na useme ila utumie maneno mzuri ambayo hayata mkwaza mwezio, ikiwezekana mwambie mwezio unapenda ufanyiweje ili ufike
  7. S

    Do men fake too?

    Viviana mtundu sana, but kiukweli haiwezekani kufake orgasm ya mwanaume kwa sababu mwanaume ana orgasm aina moja na ili uwe kweli umefanya ni lazima ufike kileleni na mwanamke lazima akusikie kwa kishindo kile cha orgasm labda mwanamke huyo awe hana hisia kwenye uke wake, tofauti na mwanamke...
  8. S

    Adai Mbegu za Kiume Kwenye Swimming Pool Zimesababisha Apate Mimba

    Ni kweli kitu hicho kinawezekana kabisa, mbegu za kiume zina nguvu ya ajabu sana zina uwezo wa kuishi siku mbili mpaka tatu zikishatoka kwa mwanaume, na mwanamke sio lazima kufanya tendo la ndoa ndio mimba itunge, siku zikiwa ni za kupata minda mbegu za kiume zikigusa na kufanikiwa kupata njia...
Back
Top Bottom