Search results

  1. C

    Tundu Lissu na genge lako hizi siasa zimepitwa na wakati

    Siasa za ccm tunazifahamu Sana. Mmeumiza watu wengi Sana sababu ya madaraja. Ipo siku Mungu atalipa kwa wakati wake
  2. C

    Nawaonea huruma wabunge wa CCM, wengi hawaturudi 2025 Bungeni

    Waachie wafanye siasa kama ccm uone moto wake. Sisi serikalini huku tunawaogopa sana
  3. C

    EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

    Imewekeza katika miradi gani?
  4. C

    Chonde chonde CHADEMA, wasameheni wabunge wenu 19 wa viti maalumu kwa maslahi ya chama na taifa

    Kama wahusika hawajawahi kuomba msamaha wao wataanzia wapi?
  5. C

    Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Chadema moto wa kuotea mbali, yaani wakiruhusiwa kufanya siasa hawa nchi itakuwa ngumu
  6. C

    Askofu Dkt. Shoo: Mbowe alikuwa mbunge wangu na nimekuwa naye karibu sijawahi kuona tabia ya ugaidi kwake, nitashangaa sana!

    Ccm acheni oh chafua nchi yetu mbele ya jamii za kimataifa, yaani hata kipofu anajua. Kwanini msifanye siasa za kistaarbu kuliko kuumiza wengine. Assume kama ingekuwa kwenu mngejisikiaje? Hata baba wa taifa angekuwepo asingekubali hili
  7. C

    CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

    Polisi wanaharibu amani ya nchi hii kwa nguvu nyingi. Kuandamana kwa wananchi ni haki ya kikatiba, waaachwe waandamane na polisi watoe ulinzi
  8. C

    CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

    Sina hakika kama chadema pekee Yao ndio wanafanya uhalifu. Sijawahi kusikia ccm au vyama vingine vimekamatwa ukiachana na cdm
  9. C

    Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Hata mtoto mchanga anajua[emoji23][emoji23]
  10. C

    Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

    Kwa sabaya me mwananchi na unga mkono na vyombo husika vimepata ushahidi wa kutosha, huyu sio binadamu wa kawaida
  11. C

    Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

    Dahh mmefeli sana jamani, hadi wananchi wa kawaida vijijini tunawashangaa. Tunalidhalilisha bure jeshi letu la polisi na nchi yetu kwenye jumuia ya kimataifa. After all kama wangefanya kongamano lao Wala kusingetokea lolote. Tunadhalilisha pia chama chetu Cha mapinduzi. Shame on us[emoji24]
  12. C

    Hujuma za kutisha uchaguzi mkuu wa BAWACHA - Mwanza

    Hahaha bado mnafuatiliaga ya wanawake?
Back
Top Bottom