Search results

  1. O

    NEC tusaidieni kujibu hoja za wananchi

    Tume ya uchaguzi imetangaza na kuweka wazi kuwa kura zitabandikwa vituoni. Tume ya uchaguzi imetangaza na kuweka wazi kuwa ni lazima kila mpiga kura arudi nyumbani. Maswali kwa Tume ambayo ni huru:- 1. Matokeo ya kura yatatoka saa ngapi kwenye vituo? 2. Matokeo kwenye vituo yatabandikwa saa...
  2. O

    Hatimaye TBC warusha live mkutano UKAWA

    CHADEMA - wogmedia - life is live angalia kwenye simu na internet
  3. O

    Dr. Mengi awang'ang'ania Zitto na Rweyemamu kuhusu kitisho cha uhai wa maisha yake

    Kuna mambo yameongelewa hapa lakini hakuna hata moja linalosema kuwa Ikulu imekanusha yaliyoandikwa kwenye hilo gazeti. Sana ikulu ilisema aende polisi, swali la kujiulizawa watendaji wetu na wasaidizi wa Mkuu wa Nchi wako jeuri kiasi hicho na hawachukuliwi hatua. Kila mwananchi ana haki ya...
  4. O

    Reginald mengi anatumia chuki zake binafsi kuwa ugomvi wa kitaifa

    Tata Madiba, ni jina zuri lakini lenye utata wa aina tatu, moja unacopy an kupaste mambo yaliyowahi andikwa hapa zamani na majibu yaliyotolewa yakaridhisha umma hivyo jina lako haliendani na matendo yako. pili picha uliyoweka na mambo unayoyazungumza yanakinzana, wewe unaonekana nyoka halafu una...
Back
Top Bottom