Search results

  1. N

    Siasa za matusi hazikuanza tu Arumeru? Angalia hapa

    Nadhani huyu Livingstone Lusinde anahitaji kupimwa akili yake atakuwa sio mzima.Wanatuharibia kabisa chama chetu hadi tunaonekana wote wa sisiemu tuna vichaa.Anyway yote meme ila kila nafsi itarejea kwa mola ya ccm imefika wakati wake kwenda
  2. N

    Elections 2010 CCM/ Kihiyo Chegeni Kanusheni na hii……………

    Nadhani sasa umefika wakati uliotarajiwa,watu wamepata uwezo wa kupambanua mambo sio enzi zile mtu anaweza kusema chochote tu watu wanfurahi na kumpigia makofi kiwe kibaya au kizuri.Viongozi wetu wanatakiwa kusoma alama za nyakati na kubadilika kama vipi waachie ngazi.Nasema haya kwa mifano , Mh...
Back
Top Bottom