Search results

  1. Msulibasi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine inakwenda kugawanyika . Pande la NATO na pande la Russia hapo hakuna taifa tena . NATO hawaendi kupigana bali kutawala kaeneo kao na kumtoa Zele Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
  2. Msulibasi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Watashangazwa Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
  3. Msulibasi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    IMBOMBO YOKA Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
  4. Msulibasi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tuambieni vita imefika maeneo gani nani kaongeza eneo nk .Tuache utoto
  5. Msulibasi

    Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

    We ni mtoto? Unataka mtu akuambie mwili haujahifadhiwa umetupwa au umeoza ? Hayo ni maswali ya mtu asiyejua mazingira ya vita . Ipo miili hairudi na ipo inayoweza kurudi ndio vita hiyo
  6. Msulibasi

    Damu ya Mtanzania huwa haiendi bure, Hamas wameyatimba

    Nimechek fb sijajua ni yeye kweli ama editing kabeba mjegeje na yupo kwenye sare you never know hicho kilimo Cha mjegeje
  7. Msulibasi

    Damu ya Mtanzania huwa haiendi bure, Hamas wameyatimba

    Huyo jamaa alivaaa. Boxer ya combart hueezi jua akikua muajiriwa wa IDF under cover
  8. Msulibasi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Thread imeharubiwa na dogo mmoja anapost yeye tu kila sekunde Hebu tuwe na kabusara kidogo tujifunze Kwa wenzetu yaani hufamyi kazi ni kupost utumbo tu
  9. Msulibasi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Utamaduni wa hii thread ni materials sio porojo na siasa mingi tunataka action maramani report za jeshi la Russia nk
Back
Top Bottom