Search results

  1. F

    On Star TV: Gharama za Kuendesha Vyama vya Siasa na Rushwa katika Siasa Nchini Tanzania

    CCM haitoi haki kwa kila mwanachama kugombea uongozi kwa sifa zake. Mfano, hivi ni raia gani wa Tanzania anaweza kugombea uongozi na mke au mtoto wa rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama? Lazima mwenyekiti aoneshe njia kwanza kwa kutoa haki kwa wanachama
  2. F

    TUONGEE ASUBUHI: TV Live interaction on Star TV Yazinduliwa Rasmi

    Mmependeza 1. Mkuu wa wilaya anatakiwa ashtakiwe kwa kutokuwa na choo. Anaposema hana choo, paa linavunja anataka nani amchimbie choo na nani amjengee nyumba? Ashtakiwe tafadhali 2. Dawa yoyote ambayo haitoi tiba sahihi ni feki/bandia. Acheni maneno yenu hapo studio. Kwani neno bandia lina...
  3. F

    On Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

    Yahya hebu waulize hao wazee wa Dar rais wa nchi akiwatukana wananchi ashangiliwe?
  4. F

    Star Tv LIVE: Jicho letu ndani ya habari

    Dotto, hata waandishi mna matatizo ya kuchambua mambo. hivi kama hali ya hewa ilikuwa mbaya ni MV Skagit tuu ilikuwa baharini? MV Kilimanjaro iliyokuwa ya kwanza kusaidia MV Skagit yenyewe ni anti-mawimbi!!! Hakuna hata jahazi au mtumbwi mmoja ulikuwa baharirini siku hiyo
  5. F

    ON STAR TV LIVE: Demokrasia Tanzania na Nafasi ya Vyama vya Upinzani

    Mh Yahaya, Nataka nimsaidie Bwana Abdul Kambaya. CUF inapoteza umaarufu Tanzania Bara kila kukicha. Lazima wakubali hili kama wana nia ya kukirudisha chama barabarani. Aache kusingizia udini. CUF imepoteza mwelekeo Bara baada ya kujiunga na CCM. Maalim Seif sio mpinzani tena wa serikali ya CCM...
Back
Top Bottom