Search results

  1. M

    Nisaidieni nakonda

    Mawazo yako ni mazuri lakin mh!...... Yeye kampenda huyu akianza na mwingine tena wakati anampenda yule basi ni mwazo wa kujifunza Kuzichanga karata mbovu na sijui kama ataishia hapo. Ujue huo ni Uchuzi uanweza usizeeke! Kuwa Mvumilivu na umwombe Mungu, anaweza kuwa chaguo lako au siye na...
  2. M

    Mke wangu hataki- nishaurini

    Hapa sidhani kama ni sahihi maana kuna watu wengi sana wamekuwa wakitoa ushuhuda wao kuwa wamefika miaka mingi ya ndoa zao, Na kumshukuru Mungu, kwa wale wacha Mungu. Tumekuwa tukisikia jubilei za ndoa miaka kadahaa. Lakini pia unasahau kuwa kuna wanandoa kibao wameambukizwa VVU kwa sababu ya...
  3. M

    Mke wangu hataki- nishaurini

    Sasa tutakwenda mbali sana, Hiyo mkubwa ni one round each day it is done, But I could understand JFs inputs that will be also a relief to my relationship, otherwise Naogopa kwa kuangalia ndoa za wengine sitaki kupotoka kama watu wengine I sometimes decide and think Kuacha kabisa mambo haya ya...
  4. M

    Mke wangu hataki- nishaurini

    Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, sasa naelewa kuwa women are like that. Na kuhusu kazi ndogo ndogo namsaidia sana, so far tuna mafanyakazi ambaye ni mtu mzima na anafanya most of the works at home. Lakini vilevile anakuwa na uchovu always. Lakini thanks for thse inputs
  5. M

    Mke wangu hataki- nishaurini

    Kwanza sorry kwa kupotea maana nilitoka tena kidogo Kwa kifupi najitahidi sana kama ni amri naziogopa sana nikielewa kuwa real women are delicate na watadanganywa haraka na kuleta taabu ndani. Kwa kifupi yeye sasa ni mwalimu, na anajiendeleza kimasomo. Yeye ndo amekuwa kidogo na maneno ya ukali...
  6. M

    Swali kwa Wanandoa

    Acha hizo inakuwa bado hujafika, au ni mwongo mkubwa. Kumbuka watu walishindwa wateule wa Mungu wakataja hata yale waliyo katazwa. Si kama tufanyavyo sisi siku hizi bwana.
  7. M

    Swali kwa Wanandoa

    Mimi naona ana Majian mengi zaidi kutokana na vile alivyo. Ila siyo ndugu yako maana undugu una maana direct zaidi. ama sivyo wasingeachana
  8. M

    Umewahi.....?

    Mimi ni mara kwa mara, hasa tukiwa katika hali fulani nzuri au tofauti.
  9. M

    Mke wangu hataki- nishaurini

    Baada ya kusikia kuhusu Jamii Forums, nimeamua kujiunga maana nasikia kuna vitu vingi ikiwemo ushauri mbalimbali. Basi leo naombeni mniksribishe kwa kunipa ushauri kuhusu hili maana linanisumbua na sijui la kufanya. kuwa ni udanganyifu, kawaida au upendo kwisha. Mimi ni mwanaume niliyeoa na...
Back
Top Bottom