Search results

  1. Tambala mbovu

    Jana mechi ya Chelsea na Man City, Guardiola tena kaonesha ubaguzi hadharani

    Yani una fundisha Pep ukocha daaah Wabongo ukuaji kwenye kila kitu.
  2. Tambala mbovu

    Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

    Umetupa mfumo tu wa 4-3-3 lakini hatuoni vipindi vya mpito timu itakuwa kwenye umbo gani. Umetuonyesha tactical balance ya Mzamiru na Malone, Je mechi nzima Tactical balance ya Simba ni hapo tu. Umetuonyesha Chama akiingia ndani na kutoa nafasi kwa beki wa pembeni Ina kuingia. Pia tuonyesha tyle...
  3. Tambala mbovu

    Takwimu: Simba kiwango kimeshuka

    Mbona una taka kujifanya unajua kuliko wataalamu wa mpira eti nawe unajiita kocha daaaah
  4. Tambala mbovu

    Israel Mwenda asipojifunza kwa Gadiel Michael na Beno Kakolanya kipaji chake kitaishia kwenye benchi la Simba SC

    Wewe nae ushabiki maandazi umekuzidi una kuwa mjinga mpaka una dhalilisha kocha chako.
  5. Tambala mbovu

    Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

    Mbona una onyesha ujinga kwenye mtandao
  6. Tambala mbovu

    1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Mumeo na muundo wa Mwaka 1998 sio huu wa Sasa ukindika jipe nafasi ya kutafakarisha watu sio kuleta ushabiki maandazi.
  7. Tambala mbovu

    Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Yani Chama haujumu timu katika magoli matatu ya Simba kwenye ligi ya mabingwa amefunga mawili. Hata goli ambalo Bocco alipiga na wakajifunga yeye ndiye alimpa pasi, Sasa hizo hujuma Zina toka wapi...? Andika weka ushahidi wa hata Mazingira tuone. Una una lazimisha kujipa umuhimu mkubwa wa Simba...
  8. Tambala mbovu

    Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Kauzwa bei gani na Sakho kauzwa bei gani
  9. Tambala mbovu

    Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Kama wewe unavyo hitaji maombi maana una mtindo wa ubongo unao julikana kama Amfifilo.
  10. Tambala mbovu

    Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Kama ambayo wewe ni mpumbavu na mpuuzi kabisa. Umeshindwa kutoa maoni una tukana watu mjinga kabisa.
  11. Tambala mbovu

    Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Ukiwa hauna uelewa wa mpira wa miguu una toa maoni kila jambo. Simba imecheza High Pressing kwa maana timu yote ina sogea juu mpaka kwenye msitari ya katikati ya uwanja na kuacha eneo kubwa kati yake na kipa. Timu inayo cheza hivi mabeki wa pembeni wana tumika zaidi kushambulia sio kukaba. Nenda...
  12. Tambala mbovu

    Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Mbona una lazimisha hoja yako ndio watu wa amini .? Yani una tukana watu kubwa ni wajinga na wapumbavu kisa kukataa mawazo yako? Simba hii msimu uliopita ikiwa na Mzamiru na Kanoute walifungwa goli chache kuliko timu yoyote ligi kuu na pia hata ligi ya mabingwa Afrika waliondolewa kwenye matuta...
  13. Tambala mbovu

    Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

    Yani Saidoo kaisha msimu umeisha kafungwa sawa na Mayele...!!! Mechi na Power Dynamo ametoa assist 2 au kuisha una maanisha nini ndugu yangu. Alafu hizi mechi za mabonanza nia yenu ndogo mno. Simba wameingia kwenye tamasha lao wakiwa na Siku chache mno kuelekea Mechi za ngao hivyo mwalimu ana...
  14. Tambala mbovu

    Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

    Una kataa kubwa sio namba kumi ila una sema ni second striker au maana ya second striker ni ipi. Mchezaji anae cheza nyuma ya ushambuliajia kimsingi ni namba kumi. Nafasi anayo cheza Saido pale Simba na ndio aneo ambalo Phiri ana yakiwa kucheza. Ugumukwa kocha upo hapa Saido ndio mchezaji ambaye...
  15. Tambala mbovu

    Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

    Kaizer Chief kafungwa mpaka na TownShip Rolles goli kwa bila nayo timu nzuri
  16. Tambala mbovu

    Simba imeshamshinda kuanzia leo, asubiri kufurumushwa muda sio mrefu

    Jifunze mpira kwanza ndio utoe sababu zako. Ujuaji ndio maana timu zetu zina shindwa kufanya vizuri. Unajua kocha ana taka nini kwenye timu yake?
  17. Tambala mbovu

    Kweli uchawi upo Duniani Baleke sio wakumuweka Bench Mosses Phiri

    Moses Phiri ni namba 10 na ana weza kucheza winga zote mbili kushoto na kulia. Baleke ni namba 9 sasa mjadala uwe Moses Phiri na Saido
  18. Tambala mbovu

    Kama Uwanja wa Benjamin Mkapa una jumla ya Taa 248 kwanini zinazowaka ni 124 tu?

    Usionyeshe ujinga wako hadharani kaa nao ndani. Yani shilingi bilioni 31 za Tanzania ukarabati una ona nyingi wakati ujenzi mwaka 2004 ulikuwa dollar za Marekani milioni 60 sawa na shilingi bilioni 129 za Tanzania wakati huo. Ambazo kwa sasa ni sawa na shilingi bilioni 248 za Tanzania, hivyo...
Back
Top Bottom