wanafunzi hao wamefanya vizuri saaaaaaana.
hata kama hawakuonana na viongozi waliowataka ila wameonyesha nia na lengo lao. Mwenyezi Mungu azidi kuwatetea na kuwasimamia.
Nimefurahi sana.
Hata wasipopata mkopo wao lakini ndo wamefungua mlango wa wadogo zetu walioko chini kutengewa bajeti ya...
Inavyosemekana ni kwamba kuappeal huwa ni mwezi wa 12 ukishasajiliwa na chuo. Ambapo bodi ya mikopo huwa inatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuappeal.
Ninachojiuliza, je mwaka huu appeal itakuwepo? Hapo sijui au hatujui.
na ikitokea ikawepo italeta picha gan kwa serikali au bodi ya mikopo...
ila ndugu yangu sio kwamba waliokosa mkopo ni wale wa diploma tuu. hata six leaver.
so unaposema NACTE&TCU kutoelewana ndo maana watu wamelosa mkopo inachanganya akili
vip wale walioaply moja kwa moja TCU na wamekosa mkopo tatzo lao ni nn sasa. je hapo TCU hawaelewani na nani?
Na taarifa za...
Jaman mm nnavyoendelea kufungua loan allocation yaani hamna kitu hata ule ujumbe wa budget exhausted hauji tena
Sasa tatizo linaweza kuwa lipi, jamani nisaidieni ndg zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.