Search results

  1. C

    Nimezaa na nisiyempenda

    Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza. Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda. Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.
Back
Top Bottom