Search results

  1. fasiliteta

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Punguza hasira mamaaa,watu waliomo jikoni washaona mbali mnaenda kuangukia kwenye shimo la moto na huyo mama yenu,na wameshaona Huyo mwinyi JR ndo apite hapo Katikati ya mstari mwembamba. Halafu Kwani hujui kama kweli ulofanya comparison unaona nani anafaa kuja huku KWA tunaoitwa machogo...
  2. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Wewe ni mshamba mara mbili usiyejua chochote kuhusu uchumi,umejazwa chuki na wivu tu kama mchawi.Huyo unayemuona hajui uchumi ndo alituvusha kiuchumi Tangu nchi hii inapata uhuru.
  3. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Hakuna aliyebisha,watu wanazidiana. Ila hizo ni mifumo ambayo ni systematically document inayofatiwa na teuzi za kuzisimamia pamoja na budget zake TOKA serikalini mwanzo baada ya kuundwa na ni kitu kimefanyika Dunia nzima. Ila jua kutofautisha kujenga nchi kimiundombinu,miradi ya...
  4. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Ni sherehe kwako wewe lofa na wenzio wenye empty set na ni sikitiko KWA wazalendo na wapenda haki wote nchi hii maana hakuwahi kucheka na kima.
  5. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Andika hii>>>17/03 ni siku yenu ya maadhimisho ya sherehe za mafisadi TZ. Hii mtaendelea kuadhimisha mpaka siku anakuja mwana mwengine wa kiAfrica kuleta ukombozi
  6. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Halafu mnataka watu wasiongee KWA kuogopa kuitwa SUKUMA GANG,nyinyi ni empty tank kabisaa. Tutaongea na kuzidi kuongea kijiti wamekabiziwa wahuni wanao pata uungwaji mkono na CHadema.
  7. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Tupo tunapambana na ROYO TUA,week Mbili nzima nchi ipo America,tukilamba posho za kutosha na msafara ulosheheni watu wa kutosha,Afu TOZO nakamuliwa mimi ninayemtumia hela ya dawa dada yangu mgonjwa
  8. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Michezo ya kufuturisha hovyo hovyo imeanza upya kwenye taasisi za serikali(wakuu wa mikoa na taasisi zake). Tutegemee mwakani sherehe na tafrija za kuukaribisha mwaka kama kawaida,huku tukichapisha ma T-shirt na makofia ya kuukaribisha mwaka KILA taasisi huku miti ya X-mass ikijaa tele kwenye...
  9. fasiliteta

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    KWA Sasa karibu KILA taasisi wanakwea mwewe tu angani kwenda nje sijui kwenye visemina,kinachouma ni kodi zetu tunakamuliwa kinoma Ili watu wapige per diem. KILA taasisi Sasa hivi ina semina na vikao,Daah hatari sana hii.
  10. fasiliteta

    Dkt. Slaa ndiyo mgombea sahihi wa Urais kwa wakati wote Tanzania

    Msimamo Gani Zaid ya kukataaa kuwapokea mafisadi? Aliyekwambia Slaa alijiunga na ccm ni nani?Hebu tupe ushahidi ni wapi alikutangazia kajiunga ccm,ubalozi usikutoe akili like ni cheo anapewa yoyote kutumikia inapofaa ktk nyanja za diplomasia,Wakuu wengi wa jeshi hutumikia na wao utasema ni fisiemu?
  11. fasiliteta

    Dkt. Slaa ndiyo mgombea sahihi wa Urais kwa wakati wote Tanzania

    Dr.slaa siyo ccm,labda kama umempa kadi wewe ama amekwambia yeye ni ccm.Au umeona ni ccm kisa alipewa ubalozi??Ndo akili zenu zimeishia hapo
  12. fasiliteta

    Dkt. Slaa ndiyo mgombea sahihi wa Urais kwa wakati wote Tanzania

    Si mikakati wa kumchafua,mbona hamuulizi hizo hela za miradi ya matrilioni zimetokea wapi? Mkiitwa nyumbu mnakataa wakati hampewi hata fursa ya kuhoji chochote TOKA KWA mabwana zenu
  13. fasiliteta

    Dkt. Slaa ndiyo mgombea sahihi wa Urais kwa wakati wote Tanzania

    Na ndo maana yake,yeye ndo alikiwasha bungeni miaka hyo ya 2006 na kuendelea. Mbowe na genge lake hawaezi kemea ufisadi maana wao ni sehemu ya huo ufisadi.Leo hii Chadema na ccm wanaipa uzito kuongelea ufisadi waziwazi Zaid ya vijana Wachache wanaothubutu kulisemea hilo. Hawajui madhara yake...
  14. fasiliteta

    Zitto Kabwe alia na Kibajaji kumhusisha Marehemu mama yake kwenye siasa za leo

    Huyu zito ni mtu asiye na busara wala tolerance,Nilistaajabu alipomuita lisu CHIBA.Huyu ni dizaini ya wanasiasa wanaoaminj mambo ya ushirikina sanaaaa,sitashangaa siku nikiskia anatafuta albino KWA ajili ya mambo take ya ulozi.
  15. fasiliteta

    Dkt. Slaa ni Balozi mstaafu lakini bado ana njaa?! Nchi ngumu sana hii

    Dr.slaa hana njaa wala tamaa,angekua ni muumini wa fedha Basi angenunulika KWA pesa nyingi sana Tangu miaka ya 2007-2015 angebeba mabilioni. Tatzo ni jamii inachukia wanasiasa wakweli,Wao Chadema/ccm/act hupendelea zile siasa za NTAJENGA BARABARA, afu hawatekelezi na hawahojiwi popote na kuja na...
  16. fasiliteta

    Dkt. Slaa ni Balozi mstaafu lakini bado ana njaa?! Nchi ngumu sana hii

    Unatakiwa ujiulize pia aliwezaje kuijenga Chadema na kukubalika sana wakati wake,Sometimes mnatumia marijuana kuendesha akili zenu ndo Mana wepesi wa kusahau
  17. fasiliteta

    Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

    Mirija ya ufisadi ilivyofungwa,si yeye tu hata hao mloimba miaka nenda rudi wanamaliza tembo wetu.Leo ndo mnawashangilia wamerudi.Nyi hamjitambui na hamtokaa kuja kujitambua
  18. fasiliteta

    Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

    Nawewe unaitwa baba kabisaaa nyumbani? Siasa za porojo ni wakati wake Sasa,mnademka tu na kuupiga mwingi huku mkila KWA urefu wa kamba zenu. Mnapambana sana mafisadi nyinyi Ili muoneshe naye mwendazake alikua fisadi,nyinyi ni wajinga na wapumbavu
  19. fasiliteta

    Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

    Wewe mchaga Tangu lini ukafurahia wazalendo haliyakua nyinyi mna historia nzuri ya kupokea mafisadi ktk vyama vyenu?
  20. fasiliteta

    Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

    Zito ni miongoni mwa watu waliotuhumiwa ufisadi na ndugu zake kina Chadema,so hatutoshangaa yeye kuwakilisha kundi lililojificha la mafisadi waliokutana na mzalendo halisi wa nchi hii.
Back
Top Bottom